Mabadiliko ya teknolojia na urahisi wa mambo ndio imepoteza hayo Nagari ila nitakushangaa kama ulitarajia dunia itakua kama mawazo yako yanavyotaka. Hizi bus za kisasa ni kulingana na mabadiliko ya kiteknolojia na Yana efficiency kubwa Sana tofaut na hayo magala ngala ya kizamani.