Bed Special needs.

Bed Special needs.

Waalimu nipeni uzoefu juu ya hii kozi ya kuchukua shahada ya ualimu special needs, je unachukua teaching subjects kama waalimu wengine mfano Geography au chemistry? Pia ufundishaji unajikita kwa wenye shida ya usikivu na kuona au hata kwa wenye mtindio?Namaanisha majukumu ya kimsingi kwa huyu mwalimu wa mahitaji maalumu awapo shuleni ni yapi. Na vipi kipaumbele chake kwenye ajira za serikalini.
Unataka usome hii kozi alafu uajiriwe? Utasubiri sana mzee.

Jiuloze kwanza serikali ina shule ngapi zinazotoa special education?


Ukipata jibu. Utafanya maamuzi.

Au kama una malengo binafsi soma tu mzee. Timiza ndoto zako. Amini kuwa utashinda hata kama utapigwa na mawe, timiza ndoto zako, kuwa wewe!

Nakutakia siku njema
 
Back
Top Bottom