Waalimu nipeni uzoefu juu ya hii kozi ya kuchukua shahada ya ualimu special needs, je unachukua teaching subjects kama waalimu wengine mfano Geography au chemistry? Pia ufundishaji unajikita kwa wenye shida ya usikivu na kuona au hata kwa wenye mtindio?Namaanisha majukumu ya kimsingi kwa huyu mwalimu wa mahitaji maalumu awapo shuleni ni yapi. Na vipi kipaumbele chake kwenye ajira za serikalini.
