Become an agent with nsagali co ltd | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Become an agent with nsagali co ltd

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Tirus, Aug 28, 2012.

 1. Tirus

  Tirus Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nsagali Co Ltd. is a Tanzanian registered company and social
  enterprise.
  Generally Nsagali Co Ltd is a both an Authorized super dealer of Vodacom Tanzania Limited and Airtel Tanzania Limited. We are aspiring to be the best company in Tanzania excelling in the telecommunication Industry and information dissemination to the right people, at the right time, with attractive connection incentives and commissions.
  We are looking for Agents around Tanzania.

  Agents can be professional individuals, consultants, teachers, enterprises (provided employees),business women and men, universities or organizations with such interests.

  This project is at the beginning. The first qualified Agent members must take over a leadership and will be rewarded for their task. We need marketing on how to reach new potential Agents and expand the resources all over the country.

  Please let us know if you are interested in this business.
  We need the link of your website / blog, phone number and the person in charge with
  email.

  Once you have become an Agent your retail outlets will be provided with an M-PESA/ AIRTEL MONEY Simcard which can do the following transactions:

  • Register Vodacom / Airtel customers as M-PESA / AIRTEL MONEY users
  • Receive deposits from registered M-PESA / AIRTEL MONEY users
  • Give cash (withdrawals) to customers
  • Assist customers to use M-PESA / AIRTEL MONEY services.

  Key services provided by M-PESA/ AIRTEL MONEY Agents are:
  • Register customers
  • Receive deposits from customers
  • Give cash (withdrawals) to customers

  Cyrus T.J Okolah Omolo
  HRM / Networking Coordinator
  Nsagali Co Ltd.-Vodacom M-pesa / Airtel Money Aggregator.

  P.O.Box 167 Mwanza-Tanzania

  Website: under construction
  E-Mail: cyrusomolo@gmail.com
  Yahoo Messenger: cyrus_international
  MSN Mesenger: cyrusomolo
  Skype: cyrus_international

  Facebook Name: Cyrus Okolah Omolo

  Phone: +255-768-684790, +255-787899196
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mbona hujataja TIGO wakati ndio ambayo inatumika na wananchi wengi wa kawaida
   
 3. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,024
  Likes Received: 8,510
  Trophy Points: 280
  Hao nsagali,si ndo kina njalu,au majina yanafanana?
   
 4. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Haso kina Njalu Silanga wa Bariadi wanataka kufanya kila kitu mpaka kuuza majeneza na chupi?
   
 5. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  am ready mkuu!
   
 6. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Njalu ni nourma aisee dah
   
 7. Unkolonized

  Unkolonized Member

  #7
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aaaa wapi! Huyu jamaa kaleta huu uzi kutaka kujua kama watz wanafahamu who z behind Nsagali Co. Ltd, Njalu trucks, na zile ginery, Nsagali Oil n.k. Hawa wote ni kivuli tu mambo yote ni Baba na Mwana! Kitanuka tu siku ikifika! Hao jamaa walikuwa wauza Ng'ombe flan tena hawakuwa na capital yakuwa tycoon wa biz kama ilivyo sasa!!
   
 8. mzee wa miba

  mzee wa miba JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 763
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  We need nothing on all that you have posted above,all are refuse or dirty,we only still crying for our 1,200Kgs per cotton kg as per year 2011, of which you deliberately dropped to about 650 Tsh. per Kgs FY 2012.No thank you,Go to hell NGL-Bariadi.
  CCM is very harmful to your health.
   
 9. mzee wa miba

  mzee wa miba JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 763
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM is very harmful to your health.

   
 10. mzee wa miba

  mzee wa miba JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 763
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM is very harmful to your health.
   
 11. mzee wa miba

  mzee wa miba JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 763
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [h=2][FONT=&quot]Nukuu Sita za Nyerere ambazo CCM hawana budi kuzitafakari kwa makini sana leo hii [/FONT]
  [/h] [FONT=&quot]1. [/FONT][FONT=&quot]"Amini nawaambieni enyi Waswahili wachache mnaotawala; mnategemea kweli kuwa mtawaongoza Watanzania kwa lazima wakati wamepoteza matumaini, na mtegemee kuwa watasalia wamekaa kimya kwa amani na utulivu?"[/FONT]
  [FONT=&quot]2. [/FONT][FONT=&quot]"Amani ni zao la matumaini, pindi matumaini yatakapotoweka kutakuwa na vurugu katika jamii."[/FONT]
  [FONT=&quot]3. [/FONT][FONT=&quot]"Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi?"[/FONT]
  [FONT=&quot]4. [/FONT][FONT=&quot]"Wakati wengi wa wananchi wanapopoteza matumaini unajenga volcano. Volcano hii italipuka siku moja. Labda kama watu hawa ni wajinga."[/FONT]
  [FONT=&quot]5. [/FONT][FONT=&quot]"Na hakutakuwa na watu wa kizazi hiki na karne hii ambao watatakiwa kujitoa muhanga kwa ajili ya maisha bora katika siku zijazo wakakubali, wakati wanawaona watu wachache wakiendelea kuneemeka machoni pao bila kujali wakati ujao, wakati wao na watoto wao wakiendelea kuishi katika maisha duni na dhalili."[/FONT]
  [FONT=&quot]6. [/FONT][FONT=&quot]"Watanzania watakuwa ni wajinga na mataahira, kama watakubali kuendelea kukandamizwa na watu wachache katika nchi yao wenyewe...."[/FONT]
  [FONT=&quot]

  Na ya saba ambayo aliitoa siku nyingi sana;

  7. "Siku inakuja ambapo watu watachagua kifo kuliko fedheha na ole wao wale watakoiona siku hiyo! Na ole wao wale watakakaoifanya siku hiyo isiepukike. Natumaini na kusali kuwa siku hiyo kamwe haitofika" - Mwalimu Nyerere (Januari, 1966)

  Na nyingine ya nane;

  8. "Kwani fursa iko mbele yetu na inategemea kama tuna ujasiri wa kuichukua. Kwani uchaguzi uliopo siyo kati ya kubadilika au kutobadilika; uchaguzi kwa Afrika ni kati ya kujibadilisha au kubadilishwa – kubadilisha maisha yetu wenyewe kwa mwongozo wetu, au kubadilishwa na matokeo ya nguvu zilizo nje ya udhibiti wetu.. .Tunapendelea kushiriki katika kutengeneza hatima yetu sisi wenyewe" –MwalimuNyerere (Januari, 1966)

  Nukuu hizi zimo katika kitabu kinachoitwa : Reflections on leadership in Africa: forty years after independence : essays in honour of Mwalimu Julius K. Nyerere, on the occasion of his 75th birthday ' , by Haroub Othman, VUB University Press, 01 Jul 2000.[/FONT]
   
 12. mzee wa miba

  mzee wa miba JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 763
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [h=2][FONT=&quot]Nukuu Sita za Nyerere ambazo CCM hawana budi kuzitafakari kwa makini sana leo hii [/FONT][/h] [FONT=&quot]1. [/FONT][FONT=&quot]"Amini nawaambieni enyi Waswahili wachache mnaotawala; mnategemea kweli kuwa mtawaongoza Watanzania kwa lazima wakati wamepoteza matumaini, na mtegemee kuwa watasalia wamekaa kimya kwa amani na utulivu?"[/FONT]
  [FONT=&quot]2. [/FONT][FONT=&quot]"Amani ni zao la matumaini, pindi matumaini yatakapotoweka kutakuwa na vurugu katika jamii."[/FONT]
  [FONT=&quot]3. [/FONT][FONT=&quot]"Nitashangaa kama hawa Watanzania watakataa kuasi. Kwanini wasiasi?"[/FONT]
  [FONT=&quot]4. [/FONT][FONT=&quot]"Wakati wengi wa wananchi wanapopoteza matumaini unajenga volcano. Volcano hii italipuka siku moja. Labda kama watu hawa ni wajinga."[/FONT]
  [FONT=&quot]5. [/FONT][FONT=&quot]"Na hakutakuwa na watu wa kizazi hiki na karne hii ambao watatakiwa kujitoa muhanga kwa ajili ya maisha bora katika siku zijazo wakakubali, wakati wanawaona watu wachache wakiendelea kuneemeka machoni pao bila kujali wakati ujao, wakati wao na watoto wao wakiendelea kuishi katika maisha duni na dhalili."[/FONT]
  [FONT=&quot]6. [/FONT][FONT=&quot]"Watanzania watakuwa ni wajinga na mataahira, kama watakubali kuendelea kukandamizwa na watu wachache katika nchi yao wenyewe...."[/FONT]
  [FONT=&quot]

  Na ya saba ambayo aliitoa siku nyingi sana;

  7. "Siku inakuja ambapo watu watachagua kifo kuliko fedheha na ole wao wale watakoiona siku hiyo! Na ole wao wale watakakaoifanya siku hiyo isiepukike. Natumaini na kusali kuwa siku hiyo kamwe haitofika" - Mwalimu Nyerere (Januari, 1966)

  Na nyingine ya nane;

  8. "Kwani fursa iko mbele yetu na inategemea kama tuna ujasiri wa kuichukua. Kwani uchaguzi uliopo siyo kati ya kubadilika au kutobadilika; uchaguzi kwa Afrika ni kati ya kujibadilisha au kubadilishwa – kubadilisha maisha yetu wenyewe kwa mwongozo wetu, au kubadilishwa na matokeo ya nguvu zilizo nje ya udhibiti wetu.. .Tunapendelea kushiriki katika kutengeneza hatima yetu sisi wenyewe" –MwalimuNyerere (Januari, 1966)

  Nukuu hizi zimo katika kitabu kinachoitwa : Reflections on leadership in Africa: forty years after independence : essays in honour of Mwalimu Julius K. Nyerere, on the occasion of his 75th birthday ' , by Haroub Othman, VUB University Press, 01 Jul 2000.[/FONT]
   
 13. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,024
  Likes Received: 8,510
  Trophy Points: 280
  hivi wewe unajua maana ya tycoon.kuwa na semi trail kadhaa,ginnery mbili ,kituo cha mafuta kimoja na mpesa ndo amekua tycoon?.

  Halafu unadharau biashara ya ng'ombe wakati vijana wengi wa ntuzuland wamekua mamilionea kwa biashara hiyo.
  Be serious guy.
   
 14. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #14
  Jan 15, 2013
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  CHEZEA NGS??

  [h=3]Soma uzi hapo chini: Dogo ni std 7 tu na 30 yrs old lakini anatisha.

  Haya ndiyo majina ya yaliyoteuliwa na Kamati ya Usalama na Maadili na Kamati Kuu Kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa mikoa ya Kanda ya ziwa. - Mwana wa Makonda

  2. WILAYA YA ITILIMA


  Haya ndiyo majina ya yaliyoteuliwa na Kamati ya Usalama na Maadili na Kamati Kuu Kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa mikoa ya Kanda ya ziwa.
  1. Ndugu, Liswa Shaban MABULA (44)


  2. Ndugu, Daudi Njalu SILANGA (30)


  3. Eng. Simon Mgagani LYAMUBU(48)  http://www.touch.habarileo.co.tz/index.php/biashara-na-uchumi/7968-wafanyabiashara-simiyu-kuanzisha-benki-yao[/h]
  MATOKEO YA UCHAGUZI WA CCM 2012 (NEC)
  [TABLE="width: 732"]
  [TR]
  [TD]SIMIYU
  [/TD]
  [TD]Bariadi Box
  [/TD]
  [TD]Andrew John Chenge
  [/TD]
  [TD]Juliana Wille Mahongo
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]

  [/TD]
  [TD]

  [/TD]
  [TD]Itilima Box
  [/TD]
  [TD]Daudi Njalu Silanga
  [/TD]
  [TD]Mohamed Njile Mabula
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]

  [/TD]
  [TD]

  [/TD]
  [TD]Meatu Box 77
  [/TD]
  [TD]Hamis Salum Hamis
  [/TD]
  [TD]

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]

  [/TD]
  [TD]

  [/TD]
  [TD]Maswa Box 178
  [/TD]
  [TD]Aron Joseph Mboje
  [/TD]
  [TD]Peter Edward Bunyongoli
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]

  [/TD]
  [TD]

  [/TD]
  [TD]Busega Box
  [/TD]
  [TD]Dr. Raphael Masunga Chengeni
  [/TD]
  [TD]George Mushoni Georg
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  [TABLE="width: 879"]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #ffffff"][TABLE="width: 599"]
  [TR]
  [TD]UVCCM kuwashughulikia wabadhirifu


  na Stella Ibengwe, Simiyu


  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [TD="width: 140, bgcolor: #FFFFFF"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][TABLE="width: 599"]
  [TR]
  [TD]UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Simiyu, umetangaza vita dhidi ya watendaji wa serikali wanaofuja fedha za umma na kukwamisha miradi ya maendeleo.
  Akifungua kikao cha Baraza la Vijana Mkoa, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Simiyu, Njalu Silanga, alisema hawatamuonea aibu mtumishi yeyote wa serikali anayekwamisha kwa makusudi maendeleo ya wananchi akilinda maslahi binafsi.
  Aliwataka vijana kuhakikisha wanatembelea miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo yao na kujionea hali halisi kama ina ubora pamoja na kuibua kero za wananchi, badala ya kusubiri misafara ya viongozi wa ngazi za juu wanapotembelea.
  Alisema kuwa vyama vya upinzani vinajipatia umaarufu kwa kuibua kero za wananchi kwa kuwa vinawahi kuzibaini.
  "Viongozi wenzangu nawaomba mkawe mabalozi wazuri kwenye maeneo yenu kama kuna kero zinazowakabili wananchi toeni taarifa mapema. Hii itatusaidia hata kuwabaini watumishi wanaofanya uzembe katika kusimamia miradi ya maendeleo," alisema Njalu.
  Pamoja na hayo, aliwataka vijana kutojiingiza kwenye makundi maovu ambayo yanaweza kuwagawa na kuwa na mpasuko ndani ya chama au miongoni mwao.
  Naye mkuu wa wilaya hiyo, Erasto Sima, aliwaasa vijana kutoiga tabia za vijana walioko mikoa mikubwa ya kutaka kukaa vijiweni na badala yake wazingatie shughuli za kilimo na ujasiriamali.  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 15. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2013
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Milimo Midimu bhagosha!
   
 16. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2013
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ku..ma.anisha nini?
   
 17. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #17
  Jan 18, 2013
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nipo tayari mkuu, nipe utaratibu
   
Loading...