dsat technology
Member
- Jun 1, 2016
- 57
- 11
Upo wapi kijana? nahitaji sana.kijua hiinjoo mm nikufundishe mpk kuifanyia software receiver na dvr bure sihitaji hata shilingi yako
nipo kigamboni nitafute kupitia namba <0622001223>,Upo wapi kijana? nahitaji sana.kijua hii
Ahsante ndugu.nipo kigamboni nitafute kupitia namba <0622001223>,
Ahsante ndugu.
Umeua bendi mkuunipo kigamboni nitafute kupitia namba <0622001223>,
Haha Leo darasa limeanza na linaendelea km unahitaji tuwasilianeUmeua bendi mkuu
hembu funguka vizuri over.kwa wale wenye startimes wanitafute nafungua startimes bure channel zote hulipii hata shilingi
nafungua startime unakua unaona bure bila kulipia channel zote za timehembu funguka vizuri over.
Ndugu ilo dongo sasahahahahaa mtu hujui kama wamekuquote ama kaquotiwa mwingine. yaana kwa ufupi hujui kuitumia jf vizuri afu unataka kunifundisha maswala ya satelaiti. mbuuuta!!
mkuu twaleeb wa kigambo hapo ndo pamenichosha. bora nije kigambo huko huenda nkaambulia kitu.Ndugu ilo dongo sasa
Karibu ndugumkuu twaleeb wa kigambo hapo ndo pamenichosha. bora nije kigambo huko huenda nkaambulia kitu.
mkuu twaleeb wa kigambo hapo ndo pamenichosha. bora nije kigambo huko huenda nkaambulia kitu.
welcome dear brother.asante mkuu! ila naomba niwe in touch na ww unisaidie. ni kweli sijui vzr kuitumia hii jf. nitakurahi ukionesha ushirikiano wako mkuu asante.
welcome dear brother.