Magaidi wa HAMAS kama unavyowaita walianzishwa na Israel.Hii dunia haiwezi kutulia as long as waislam wataendelea kuzalisha magaidi
Hiyo coalition ya red sea imeishia wapi?
Ilianzishwa na imani yao ya kuua kama chanzo cha kutafuta suluhu (jihads).Magaidi wa HAMAS kama unavyowaita walianzishwa na Israel.
Hii dunia haiwezi kutulia as long mtaendelea kuzalisha magaidi
Hakuna ambae anataka kuingia vitani na Iran direct! Sio Marekani wala sio Israel na sababu kuu na hasara itakayopatikana kutokana na vita hiyo!1. Joe Biden ametimba Camp David kinafiki kwa mapumziko ya Christmas; masikitiko yake kulikoni Iran hajichanganyi Gaza?
2. Kwenye simu yake na Natenyahu kabla ya kuelekea mapumzikoni, amempa Natenyahu baraka zote: "kazi iendelee, Mungu si Athumani."
3. Kwake yeye, kila shambulizi dhidi ya Israeli mtuhumiwa awe Iran, mwenye tuhuma yeye; alipo subira yavuta kheri:
View attachment 2851314
View attachment 2851315
View attachment 2851316
4. Wenye kuyafanya mashambulizi wanathibitisha, ila mwenye lake jambo sasa:
View attachment 2851317
View attachment 2851320
5. Pole yao wapalestina, mchawi marekani; Israel kama paka huyo katumwa tu, wao ni mbagusilo, mlengwa ni Iran.
6. Wanafiki wameamua kufunika kombe mwanao kharamu apite.
7. #6 Hapo, yaani kila mtu na apambane na hali yake.
8. Ila ukweli mchungu:
View attachment 2851323
Acha Propaganda, muanzilishi wa HAMAS ni Israel, sema viongozi wa Hamas baadae walielewa lengo la Israel ni nini wakamgeuka slave master, kwahio acha apambane nao maana kawachonga mwenyewe Kwa ajili yakupambana na FPM, ilivyokua inaongozwa na Arafat Sasa leo anakunywa kikombe chake mwenyewe.Ilianzishwa na imani yao ya kuua kama chanzo cha kutafuta suluhu (jihads).
Ilianzishwa na imani yao ya kuua kama chanzo cha kutafuta suluhu (jihads).
Hiyo hamas kama aliitengeneza Israel mbona wakiteka raia wapalestina wanashangilia na Israel akiwaua mnalia? au hamuelewi yupi ni yupi.?Acha Propaganda, muanzilishi wa HAMAS ni Israel, sema viongozi wa Hamas baadae walielewa lengo la Israel ni nini wakamgeuka slave master, kwahio acha apambane nao maana kawachonga mwenyewe Kwa ajili yakupambana na PLM, Sasa leo anakunywa kikombe chake mwenyewe.
Kumbe na Hamas wanaweza kutengeneza propaganda za kitoto hivi na raia wakaamini? 😄😄😄😄
Umeanza kuifatilia HAMAS, baada ya Oct 7.Hiyo hamas kama aliitengeneza Israel mbona wakiteka raia wapalestina wanashangilia na Israel akiwaua mnalia? au hamuelewi yupi ni yupi.?
Vipi wewe ulianza lini.?Umeanza kuifatilia HAMAS, baada ya Oct 7.
Hapana mimi ni msemaji wa Papa hapa bongo.Vipi wewe ulianza lini.?
au wewe ndiye msemaji wao kwa hapa bongo?
Huyu wa Vatican au papa wa baharini?Hapana mimi ni msemaji wa Papa hapa bongo.
Nataka kujuaHiyo coalition ya red sea imeishia wapi?