Beautiful Obiri Destroys DIBABAin Rome..in 5000 metres

Obiri sio mchezo, a very nice run. Nampenda Dibaba, ila kwa leo, Obiri amenikosha.

Kuna watu ambao husema wanawake ni legelege, lakini kama ulishawahi kukimbikia ukiwa shule, basi utakubaliana na mimi kuwa hawa wanawake wanaokimbia wanawakilisha kwa uchache, nguvu za mwanamke.
 
Back
Top Bottom