Beautiful and still single

Ukiwa mzuri kupitiliza ni ngumu kupata mwanaume wa kukuoa. Itakuchukua muda mrefu kuwapata wanaume wenye ujasiri wa kuoa wazuri.
 
Ah ah ah ah umenikumbusha rafiki yangu mmoja hivi huo ndio msemo wake.

Mwanaume Lazim ujiamini bwana
 
Ukiwa mzuri kupitiliza ni ngumu kupata mwanaume wa kukuoa. Itakuchukua muda mrefu kuwapata wanaume wenye ujasiri wa kuoa wazuri.
Sio kweli, sema tu hujampata mzuri, sio kwamba wazuri hawaolewi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…