Huyo Isabela mtoto wake ndo tajili mwanamke wa kwanza kwa ukwasi hapa AfricaAngola haikustaili iwe hapo ilipo sasa hivi, hiyo nchi inamafuta lakini raia wake ni maskini wa kutupwa,
Kiufupi mazingira ya hiyo nchi haijaizidi Dar ya Makonda, jaman muwe mnatembea msidanganyike na picha..
Rais wa kwanza wa Angola rais José Eduardo dos Santos ndiyo aliyekuwa anajimilikisha rasilimali za Angola huko akimlimbikizia mali mtoto wake wa kwanza Isabel Dos Santos..
Maisha ya raia wa huko ni bora ya raia wa kigoma ujiji
Yaah... Kapitia mgongo wa baba yake, alicheza na fursa vizuriHuyo Isabela mtoto wake ndo tajili mwanamke wa kwanza kwa ukwasi hapa Africa
Yaah... Kapitia mgongo wa baba yake, alicheza na fursa vizuriHuyo Isabela mtoto wake ndo tajili mwanamke wa kwanza kwa ukwasi hapa Africa
Hopefully Tanzania tunaelekea huko mana resources zetu tumeanza kuzivalia njuga, mana Angola wameanza kustabilize peacefully hata 20 years haijapita, sababu ya civil war, wameamua kufa na mafuta ili yawatoe na watapiga hatua , kiukweli hata GDP yao inapaa sana, Big up!
Babake!!!!!! Ni pakawaida2 wala ucpapige promo.Siku uende ndio utakuja simulia ni simple tu kwa pipa me siwez kusimulia ntajaza Thread kibao hapa na ntachoka kuandika gazeti.kama ni mafuta Iraq/Saudia/Nigeria etc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kungekua na maisha ya juu sana
Hapafiki hata kwa dar hapoKwani heading imesema panafanana na Sayari ya Jupiter ..??? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ww Dada unamaneno sana[emoji2] [emoji2]Kwani kuna mtu hapa alikua anafanya comparison na Dar [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] watu kama nyie ndio mlikua hamsomi instruction za pepa ndo wa kwanza kumaliza halafu chaka.
Leta picha za maisha ya Waangola weusi kama mimi, na siyo mapicha ya maghorofa, hayo hata Bongo yapo, nataka kuona maisha ya Waangola weusi!