Beautiful Africa-Angola.

Hapo kuna jimbo linaitwa Cabinda hapakaliki

Who told u..?? majimbo yote yapo chini ya Serikali ya Angola Cabinda wanataka kujitenga na hilo lipo toka vita za Angola miaka ile,na walipo n kama Zenj na Tanganyika.lakin bado serikal ya angola imesema nyie n waangola Tu.
 
Leta picha za maisha ya Waangola weusi kama mimi, na siyo mapicha ya maghorofa, hayo hata Bongo yapo, nataka kuona maisha ya Waangola weusi!

Mbona umejaa upepo ka Puto linajazwa na Compressor nan kasema alienda kupiga picha maisha ya watu..???
 
Hata wajanja wasiotaka kupigwa wanaweza kugwaya.

Uzuri unachogaramia ndio unapata na uwe umeenda kufanya starehe zako coz American walio na ela za kuchezea wamejaa kule wanakula maisha wanaondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…