Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,275
- 33,878
Nyakageni,nawe pia nakuuliza, kwa nini wakatae vitabu vyako? Sina hakika na MUM ambako mkuu ana mentality kama yako
Nyakageni,
Nimekujibu kuwa hilo swali unalileta sipo.
Hao wanaokataa kitabu changu ndiyo wa kuulizwa.
Mimi ninachoweza kukueleza ni kuwa kitabu changu kilipochapwa London
mwaka 1998 kilifanyiwa pitio na John Iliffe wa University of Cambridge na
kikapata heshima ya kutiwa kwenye Cambridge Journal of African History.
Hili ni journal linaloheshimiwa dunia nzima.
James Brenan wa London School of Oriental and African Studies na yeye
akafanya pitio na nikaingia tena kwenye journal lao na Jonathon Glassman
wa Nortwestern University na yeye akafanya pition na nikaingia tena kwenye
journal na kwingi nikawa maarufu.
Alhamdulilah.
Ni hayo tu.
Because the truth hurts and is denied here because of personal interst by the like of you Nyakageni who likes character killing.
Nyerere was a genius in obfuscation, he could use words to insult you in public and yet you will clap hands leaving the arena smiling
And his art is like when he nationalized the colonial days era church schools for instance and yet he allowed the church to build more schools with MOUs while advocating the so called secularism in the government (Command & Control tactics) and deniying the same previleges to Muslims while we the Sikh and the Hindus enjoyed our previledges too. What minorty does he Hirji talkes about is it because The Agha Khan maintained ownership of their facilities?
Unachotakiwa ni kujibu hoja za Profesa na si kubandika nukuu za malalamiko ya kina KK haya hayataleta majibu ya hoja zaidi ya kutafuta huruma. Wewe unaeleza uhuru umepiganiwa na waislamu mwenzio kaja na facts kwamba uhuru ulipiganiwa na watu wa imani zote na origin zote, unakumbia hoja sababu uliandika uongo mwanzoni.
Kuhusu mzee sykes sikuanza kumsikia kwako nilishamuona na kusikia habari zake tangu nikiwa mdogo alikuwa anakuja kwa mzee malapa. Ila kwangu hajawai kuwa mtu muhimu wa kumfatilia.
Baba wa taifa Mwl Nyerere aliita watu wenye udini ni watu wenye mawazo ya kijinga . Kumbe aliona mbali.
Huyu Prof, kabla ya kumjibu Mzee Mohamed Said angemjibu kwanza Padre Sivalon, tungemuelewa zaidi.Nyakageni,
Hayo mimi si wa kwanza kuyasema.
Msome Bergen (1981), Msome Sivalon (1992), Msome Njozi (2000).
Nyakageni,
Nimekujibu kuwa hilo swali unalileta sipo.
Hao wanaokataa kitabu changu ndiyo wa kuulizwa.
Mimi ninachoweza kukueleza ni kuwa kitabu changu kilipochapwa London
mwaka 1998 kilifanyiwa pitio na John Iliffe wa University of Cambridge na
kikapata heshima ya kutiwa kwenye Cambridge Journal of African History.
Hili ni journal linaloheshimiwa dunia nzima.
James Brenan wa London School of Oriental and African Studies na yeye
akafanya pitio na nikaingia tena kwenye journal lao na Jonathon Glassman
wa Nortwestern University na yeye akafanya pition na nikaingia tena kwenye
journal na kwingi nikawa maarufu.
Alhamdulilah.
Ni hayo tu.
Sibonike,
Usiwe na haraka ya kutoa hukumu.
Mjadala ndiyo kwanza unaanza.
Ila nitakudokeza moja tu.
Prof. Hirji awe kama atakavyokuwa.
Hakubeba mzigo waliobeba Waislam katika ukoloni toka Wajerumani
hadi Waingereza.
Ukitaka kujua mtoto yatima anahisi vipi kufiwa na wazazi wake wawili
muulize mwenyewe.
"mwanangu siku ya Iddi watoto wenzako wamevaa nguo
mpya wamenunuliwa na baba zao wewe huna umejikunyata kibarazani
na matambaa?"
Jibu lake litakusogeza kwenye ukweli na uhakika.
Prof. Shivji hajapita tulipopita sisi.
Atazungumza na shingo kutoa kwa kuwa hana hata uzoefu wa mtoto
wa shangazi yake katika haya Waislam wanayolalamika.
Suali moja nitapenda Prof. Hirji anijibu.
Upungufu katika historia ya Tanganyika aliujua lini?
Aliujua kabla au baada ya Mohamed Said kuusema?
Ikiwa aliujua kabla kipi kilimfanya akae kimya siku zote hizi?
Uoga au kitu gani?
The big , nadhani Mohamed anapoweka paper na mabandiko yake nikufahamisha, kuelewesha na kutoa ufafanuzi. Na katika hayo lazima kuwe na ‘critique'Hapa kina nyinyi hamuwezi pata pa kuchomokea hata kwa kuwanga
teh teh teh
Hakuna aliemkataza yeyote kuandika historia ya wale ambao kwa namna moja ama nyingine anaona wamesahauliwa au wameumizwa na utawala wa serikali flan flan iliyopita
SASA KAMA HUYO PROFESA ANASEMA KWENYE UTAWALA FLAN MFANO UTAWALA WA NYERERE WAKRISTO WALIONEWA NA KUKANDAMIZWA NA MFUMO BASI RUKSA KWAKE KUANDIKA HISTORIA NA KUWEKA USHAHID
KAMA MSOMI WETU MWANAHISTORIA MOHAMED SAID ALIVYOJARIBU KUANDIKA NA KUWEKA USHAHID WA WAZI WAZI
NI SUALA LA KUKAA CHINI NA KUFANYA UTAFIT KISHA KUANDIKA NA KUUTANGAZIA ULIMWENGU
HUYO PROFESA KAMA KWELI ANGEKUWA NI MIONGONI MWA WASEMA UKWELI AMBAO ANASEMA ALIKUWA ANAUFAHAM ALIPASWA AUELEZE VILE VILE
ASISUBIRI WATU WAKAE CHINI WAANDIKE KISHA NAYEYE AJE KUANZA KUSEMA KWAMBA HAIKO HIVYO TENA BILA KUWEKA USHAHID WA WAZI KUPINGA HIKO KILICHOANDIKWA NA MTAALAM MOHAMED SAID
VIPI BWANA PROFESA ANATAKA KUSAFIRIA NYOTA YA MTAALAM MOHAMED SAID??
AMECHELEWAA,,AU LA BASI AJE NA USHAHID WA KUBACK UP HOJA YAKE.
:rockon: :rockon: :heh:
Muiteni huyo Prof hapa jamvini atueleze kwa nini Kambarage Nyerere, baada ya Uhuru wa Tanganyika aliwakatama Masheikh wetu na kuwaweka magerezani na wengine aliwafukuza Tanzania.hivi unajua hata lini Nyerere aliachia ofisi kweli?
MOU ilifanyika mwaka gani?
Unamlaumu Nyerere kwa lipi kuhusu fair treatment ya wachache kama wahindi na wazungu kuwa watanganyika bila ubaguzi?
Huyu Prof, kabla ya kumjibu Mzee Mohamed Said angemjibu kwanza Padre Sivalon, tungemuelewa zaidi.
Matumbo,
hapana haja ya kutumia maneno makali, "ujinga," nk.
Prof. Hirji bahati mbaya hayupo hapa.
Juu ya hayo nimeweka maswali yangu hapa kwenye uzi ambayo angekuwapo
labda angenijibu.
Maswali na majibu ni njia mbili.
Hapa nipo mimi peke yangu Prof. Hirji hayupo.
Sasa tunafanyaje katika hali kama hii?
Unashindwa kunielewa.
Kabla ya kuandika kitabu cha Abdul Sykes ulijua kama ni yeye ndiye aliyeasisi
TANU?
Ulijua kama kadi yake ya TANU ni namba 3 na ya mdogo wake Ally ni namba 2?
Ulijua kama kadi ya Nyerere aliandikiwa na Ally Sykes?
Naamini kuna mengi hukuwa unayajua.
Nyakageni,hadi sasa hajajibu hoja zaidi ya kuweka malalamiko zaidi! Mara Mwembechai, mara Kitwana Kondo, namsubiri tu
Muteni huyo Prof hapa jamvini atueleze kwa nini baada ya Uhuru wa Tanganyika aliwakatama Masheikh wetu na kuwaweka magerezani na wengine aliwafukuza Tanzania.
Mohamed, wewe unaandika historian a upo katika top 500 kwamujibu wako. Unaposema wametuona, ni dhidi ya nani? Maana somo hapa ni historia na vilivyototokea, sasa wametuna inaingiaje. Wametuona ni akina nani dhidi ya naniMatumbo,
Ikiwa kama usemavyo huenda wametuona wajinga hivyo wametupuuza hilo
vilevile sawa pia.
Nyakageni,
Nimekujibu kuwa hilo swali unalileta sipo.
Hao wanaokataa kitabu changu ndiyo wa kuulizwa.
Mimi ninachoweza kukueleza ni kuwa kitabu changu kilipochapwa London
mwaka 1998 kilifanyiwa pitio na John Iliffe wa University of Cambridge na
kikapata heshima ya kutiwa kwenye Cambridge Journal of African History.
Hili ni journal linaloheshimiwa dunia nzima.
James Brenan wa London School of Oriental and African Studies na yeye
akafanya pitio na nikaingia tena kwenye journal lao na Jonathon Glassman
wa Nortwestern University na yeye akafanya pition na nikaingia tena kwenye
journal na kwingi nikawa maarufu.
Alhamdulilah.
Ni hayo tu.
Muhasisi wa TANU ni Mwl Nyerere, hao kina Sykes walikuwa na kijiwe cha soga kinaitwa TAA .
Kwani prof Hirji ni mtume kila atakachosema ni kweli watu wakifuate Hirji ni binadamu kama wewe ana mapenzi yake pia na fikra zake.hujanielewa, swali ni kwa nini kitabu chako kimekataliwa UDSM?
Kuhusu kukubalika Uingereza Prof Hirji kasema academicians wa Tanzania mnakimbilia kwa donors kupata dollars, working for their interests
he who pays the piper chooses the song!
Muiteni huyo Prof hapa jamvini atueleze kwa nini Kambarage Nyerere, baada ya Uhuru wa Tanganyika aliwakatama Masheikh wetu na kuwaweka magerezani na wengine aliwafukuza Tanzania.
Kwani prof Hirji ni mtume kila atakachosema ni kweli watu wakifuate Hirji ni binadamu kama wewe ana mapenzi yake pia na fikra zake.
Muiteni huyo Prof hapa jamvini atueleze kwa nini Kambarage Nyerere, baada ya Uhuru wa Tanganyika aliwakatama Masheikh wetu na kuwaweka magerezani na wengine aliwafukuza Tanzania.