Beatiful, President Obama visited Restaurant where his younger daughter is working

Beatiful, President Obama visited Restaurant where his younger daughter is working

anko magu kakaa dodoma siku kadhaa akapewa na cheo cha juu chamani lakin hata kumtembelea binti yake jeska ambaye yuko palepale dodoma hatujaona! bas hata kumuita wapige picha ya pamoja kama mwanafamilia ya baba kupata uongozi mkubwa chamani hamna!!
 
hivi ni kweli ndio kaamua kufanya kazi mgahawani au kiki za msimu?

Mtu kama huyo wa kwenye mgahawa mkawa mmemaliza kozi moja ya juu sawa, wewe ukafanya kazi ktk ofisi kupokea watu kuelekeza waende wapi... sijui kuandika mabarua...intavyuu ya kazi ingine mfanye wote ya kazi ya juu yeye atapata wewe utakosa...ujuzi wa mengi ni muhimu
 
Mfano wa kuigwa kwa sisi kina baba ambao tuna watoto na wanaotegemea kuwa na watoto Kazi ni Kazi
 
To me, is one of the father responsibilities, hellow you can think positive about this issue not negative,ur know , the rules and regulations of America, no anyone who allow to unlawful of public fund, it means that even Obama didn't ,thus why daughter entering restaurant, to collect money, and let me tell you that is good work for the guy but I swear you in the name of my mother, she is going to be a millionaire soon
Ungeandika kiswahili mkuu maana kingereza sio lugha yetu sasa kwanini ulazimishe kuandika vitu visivyoeleweka kwa kukosa kuweka helping verbs na kukosea tenses bila kusahau syntaxical errors.
Nimesoma mara mbili ila nimeambulia patupu
 
hivi ni kweli ndio kaamua kufanya kazi mgahawani au kiki za msimu?
Kwao ili huitimu high school lazima ukafanye kazi mahali ndicho kinachofanyika mkuu, obama hapo ni kama vile mzazi anavyomsaidia mwanaye kufanikisha homework.
 
Hivi kuna katoto ka bwana mkubwa yeyote hapa Tanzania anafanya ka field kwa mama ntilie ?
 
Raisi wetu mpendwa alivyoonyesha upendo na ukarimu alivyoshika sahani ya sambusa kuwagawia wageni wake, watu walitafsiri yao,ajabu kayafanya obama anasifiwa.
 
Huyo OBAMA hajasomea hoteli menejimenti wala mambo ya food and beverage kavunja sheria aburuzwe mahakamani kwa kulisha watu makolokolo.Hicho alichofanya sio kitu cha kuigwa na wazazi
 
"A real man is the one who spends time with his family"- Don Corleone - the God Father Part I

Wee.. a Real man ni mwanaume anaye FYATUA WATOTO.. kufyatua watoto... kibongo ndio Real man..
 
HE DECIDED TO SUPPORT HER IN DOING SOME OF HER DUTIES
Obama visited where his younger daughter is working, he decided to support her in doing some of her duties. What is your responsibility as a father? What kind of role are you playing in bringing your daughter to the right stage of life? Your wife alone can’t give her exactly what she wants because she is bound to meet a man like you in life. Contribute positively and help her in building a strong tomorrow. God bless all fathers and father to be
View attachment 383426


Wewe na jaluo wako huyo dah mnapendana sana, good
 
"A real man is the one who spends time with his family"- Don Corleone - the God Father Part I
Dah! wee na mapengo yako hayo, umenifanya nikimaliza kucheki jf niweke cd yangu ya Godfather maana kwa hiyo nukuu ya Don Carleone kwa mwanawe Sonny imenipa mzuka wa kuiangalia,sichoki kuiangalia sijui kwa nini.
 
Kunona ni dalili vichwa havitumiki ipasavyo au havina kazi ngumu za kufanya. Rais wa Marekani na hasa wa enzi zetu hizi kabeba masuala yote mazito ya dunia ulitegemea "anone"?


Hana ishu yeyote uyo jaluo mzungu kilaza n, ungeniambia Simba Puttin hapo tungekuelewa
 
Back
Top Bottom