Kanuni ya kitubio ni kwenda kwanza kwa uliyemkosea/uliyemkwaza na kumwomba msamaha, hatua inayofuata ni kwenda kwa Muumba wako kutubu, kufanya malipizi na kuahidi kutorudi dhambini huku ukiomba msaada wake Muumba. Swali ni je, EL na fans wake wanakiri alifanya makosa? Na Je, amefuata kikamilifu hii kanuni na utaratibu wa kitubio katika Ukristo?