Travis 1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 873
- 1,350
ndiyo natumia hii 10 mkuu. karibu kunielekeza.
Tanjim The Tech Guy
ndiyo natumia hii 10 mkuu. karibu kunielekeza.
Mkuu umekwama vipi wakati maelekezo yapo clear kabisa.Mkuu nimekwama kwenye kupata hizi dock backup and wallpaper,na hizi isd geometric icons nazipataje?.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Mkianza kuoneshana nguo za ndani nishtueni, nimenunua kyupi kipya jamaa zangu, I can't wait to show it to the general public ikiwa bado na kalebo
imekaa poa sana, sema kufuata zile procedures ni kisanga kidogo ase.
imekaa poa sana, sema kufuata zile procedures ni kisanga kidogo ase.
Hii sio window??View attachment 1373692
Ziweke pamoja kama hivi.
Ni window hiyo kiongozi.Hii sio window??
Utaka kusemaje mkuu😀Mkuu jaribu kunishinda na hapa
Kwa wapenzi wa Marvels View attachment 1280128
Tuone collection yako piaFalcon And Winter Soldier na Tamu nyie
😀😀huniwezi weweTuone icon arrangements yako ukiweza shindana na hii nitaleta nyingine ze best.
Ngoja nizipange, Since Iron man till now, Sina tu series ya Agents of ShieldTuone collection yako pia
Bwana mkubwa naomba kuuliza swali, natumia online terminal /shel kurun linux command sasa nashangaa sometimes narun command the right way ila sipati majibu, mfano
Una fanya the right thing pia Kuna option ms store saivi ya kurun Linux bila 3rd party apps it might worth a tryBwana mkubwa naomba kuuliza swali, natumia online terminal /shel kurun linux command sasa nashangaa sometimes narun command the right way ila sipati majibu, mfano
nina directories tatu nimezitengeneza(i am the root user) n
mkdir ya1
mkdir ya2
mkdir ya3
nataka niingie diectory ya pili
cd ya2
nacreate txt files labda tatu ambazo hazina kitu
touch maembe.txt
touch papai.txt
touch ndizi.txt
sasa hapa perhaps nataka maembe.txt awe copied to directory ya3
cp maembe.txt /ya3
alafu touch papai.txt nataka niimove to directory ya1
mv papai.txt /ya1
which means ya1 itakuwa na papai.txt, ya2 itabak na maembe.txt na ndizi.txt na ya3 itakuwa na copy ya maembe.txt si nilicopy.
kinachotokea sasa, copy command na mv command hazirudish error yeyote ila nikienda kwenye respective directory sizikuti hizo files mfano hii ya kumove inaliondoa kabisa file pale sasa sielew yanaenda wapi , nakosea sehemu ya kurun hizo command ? au inakuaje... am i doing the right thing at the right pace or the other way round ?
moja ya terminal nazotumia ni
Online Linux Terminal - CoCalc
https://cocalc.com › doc › terminal
siwez kuinstal virtual box for the time being computer nnayotumia ni ya ofice na ina restrictions na hatari kwa kazi yangu ku install third part softwares.....