Beach zote uchafu umezidi

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
72,993
Reaction score
102,827
Habari wadau, kuna beach ambayo iko kuanzia Kawe hadi Jangwani, maeneo hayo ni machafu sana, je Halmashauri husika hazioni ni wakati wafanye usafi?

Kama wameshindwa kwanini wasizibinafsishe ili ziwe safi?

Au kwanini ile Service Levy wasiwekeze kiasi kwenye usafi wa hizi Beach haswa nyakati za weekend na sikukuu?
 
Kuna ile nyuma ya Ikulu watu walikuwa wamekunya yote. Sijui kama imekuwa safi nowdays.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…