Be your own boss

Be your own boss

JERUSALEM 2006

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
527
Reaction score
596
DO YOU WANT MORE THAN 100$ IN A WEEK?
DO YOU WANT TO BE A BOSS OF YOUR OWN?
DO YOU WANT TO PAY YOURSELF A SALARY OF YO CHOICE?
WITH TELEXFREE ALL OF THESE ARE POSSIBLE!!!!

FOR MORE INFORMATION CONTACT;
Jameslwakatare@yahoo.com;
0785619024
James Ishengoma Lwakatare.

Dont delay, be your own boss.
 
Mkuu acha kuwapa Watu matumaini makubwa bila kuwaeleza uhalisia wa hiyo bias hara. Inahitaji uwe na zaidi ya dollari 1000 kwa mwaka kuweza kulipwa hiyo dollari 100 kwa wiki. Eleza ukweli Mkuu acha maneno matamu
 
Mtu kama huyu anashindwa kujua ni wapi akapost huu utumbo wake, hajui kuwa JF ni social media ya GREAT THINKERS
 
DO YOU WANT MORE THAN 100$ IN A WEEK?
DO YOU WANT TO BE A BOSS OF YOUR OWN?
DO YOU WANT TO PAY YOURSELF A SALARY OF YO CHOICE?
WITH TELEXFREE ALL OF THESE ARE POSSIBLE!!!!

FOR MORE INFORMATION CONTACT;
Jameslwakatare@yahoo.com;
0785619024
James Ishengoma Lwakatare.

Dont delay, be your own boss.

how!!!
 
we mwenyewe umeshindwa kuzipata, ndomana unahaha kutapeli watu kwenye mitandao.
Wizi wa mchana, kama unakitu chenye manufaa ungeelezea, sio kutudanganya kwa kuweka no ya simu.
 
we mwenyewe umeshindwa kuzipata, ndomana unahaha kutapeli watu kwenye mitandao.
Wizi wa mchana, kama unakitu chenye manufaa ungeelezea, sio kutudanganya kwa kuweka no ya simu.

hahahaa akisoma ulichoandika awez taman tena huo utapeli
 
Anaongelea Juu ya Network Marketing, Bila kukosea hii itakuwa ni FOREVER Living.
 
Anaongelea Juu ya Network Marketing, Bila kukosea hii itakuwa ni FOREVER Living.

It's more or less the same isipokuwa hii ni ya internet advertising zaidi! Yaani kazi yako inakuwa kurusha matangazo kwenye hiyo web kila siku na wanakulipa kwa wiki ila lazima uwe umelipa subscription fee. In order to be paid 100 dollars a week u need to pay about 1500 usd per year
Kuna category nyingine za Malipo pia ila naona huyo jamaa hajataka kuweka banana hapa
 
Back
Top Bottom