Be very careful what you wish for!

Humu JF tutaongea kuhusu popote kwa yeyote na kwa vyovyote bila kupangiwa.... Mkishaanika utopolo wenu mtajadiliwa kote.
Na ndiyo sababu tutakutwanga mawe kama utatafuta kuingilia maswala ya kuwapata viongozi wetu; na ukichangia kutuchagulia viongozi kwa njia nyinginezo, tukikukamata vibiashara vyako vinateketea!
Kwa hiyo chunga sana, mkuu.
 
Kwa hiyo tuendelee kuibiwa na kutukanwa matusi ya nguoni au siyo? Tuendelee kuitwa kenge, sisimizi, nywinywinywi ndo unapenda? Hayo matusi tumetukanwa raia wote ujue, hadi Wanajeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…