Scared JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 10,887 Reaction score 17,614 Jul 13, 2025 #21 Scott junior said: Kibongo bongo uwe dollar ngap uhesabike una pesa π Click to expand... Hata dollar Moja ni pesa nayo
Scott junior said: Kibongo bongo uwe dollar ngap uhesabike una pesa π Click to expand... Hata dollar Moja ni pesa nayo
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,737 Reaction score 81,808 Jul 13, 2025 #22 Kuna Ku fake na kubrag , nafikiria kubrag ndo kitu kibaya Sana . Mfano unawatambia watu hiyo haifai Ila kuishi kimasikini namwonekano mzuri sio mbaya
Kuna Ku fake na kubrag , nafikiria kubrag ndo kitu kibaya Sana . Mfano unawatambia watu hiyo haifai Ila kuishi kimasikini namwonekano mzuri sio mbaya
Mynd177 JF-Expert Member Joined Dec 3, 2022 Posts 3,167 Reaction score 5,642 Jul 13, 2025 #23 NOMA SANA.....
TheForgotten Genious JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 2,436 Reaction score 3,558 Jul 13, 2025 Thread starter #24 Mshana Jr said: Wengine tumechagua kuishi uhalisia wetu Sawa na vipato vyetu,kuigiza tunavyo wakati hatuna hutunyima uhuru na amani ,ni bora ukatengwa sababu huna kuliko kujitenga sababu huna na unajifanya unacho.ππ¨ Click to expand... Father
Mshana Jr said: Wengine tumechagua kuishi uhalisia wetu Sawa na vipato vyetu,kuigiza tunavyo wakati hatuna hutunyima uhuru na amani ,ni bora ukatengwa sababu huna kuliko kujitenga sababu huna na unajifanya unacho.ππ¨ Click to expand... Father