Wakuu salama kuna hawa jamaa wanajulikana Kama be like bro kwa kweli ni kili niwapo na mawazo basi husogea kutazama post zao na huwa zinafurahisha ntajitahdi kuweka picha ili tuburudike wote wana Jf na Cartoonist huyu mtembelee Facebook kwa kusearch page ya be like bro zipo nyingi ila like ile yenye likes 7+m
Ahahahaha dah nimekumbuka Mwalimu wetu mmoja wa hesabu alikua haachi kipindi, siku moja matokeo ya Mock yakaja vibaya sana kwenye hesabu, basi watu walipoulizwa sababu wakasema mwalimu anaingia sana darasani apunguze.