Be good to DRC . Others like Kenya Uganda Rwanda can proceed on their own

lets jf write a letter to jk explaining this issue. we need to have our own decisions otherwise we should vote if we feel like staying in this federation
 
A feel good topic for all ant EAC and Kagame/Museven haters lakini reality hakuna and is all BS,mnaongelea DRC wakati hata usafiri wa kufika Kigoma ni shida,agenda zenu ziko driven na emotions tuu na vitu ambavyo havina ukweli hata kidogo kama land,land sio issue na wala sio agenda katika EAC ila mnataka kuifanya issue na hakuna raia wa nje atalazimisha umiliki wa ardhi ya TZ,na Economy za nchi karne hii hazitegemei how much land you have,mngejua how much business mnafanya na hizo nchi tatu combined msingeongea huu utumbo mnaozungumza humu,as off now cargo zote za Rwanda/Uganda a combined of 30m plus people zinaelekea Mombasa kirahisi kwa ajiri ya upuuzi kama huu,mnajua how much money/business from port/fuel/hotels/road tolls/food/mechanics shops/retails/trucking etc watanzania watakazopoteza kwa ajiri ya hili?ni billions of money FYI na sijui ni kwa faida ya nani,pesa inayoingia kwenye Economy kutokana na transit route Dar to nchi hizo ni kubwa kuliko hata gold ambayo hata kodi hawalipi,Tanzania wana export more to Kenya,Uganda,Rwanda kuliko import in billions kila mwaka,nyie watu wekeni stupid politics pembeni na mfikirie kama CEOs responsible to their shareholders and hating Kenya or Rwanda haitawasaidia chochote na futa hizo thinking they need your land.
 
Nakusapoti sana ndugu, hakuna sababu ya kuendelea na mipango ya shirikisho na viumbe hao. Pia inatupasa kufahamu matatizo yetu sisi sio shirikisho bali maendeleo, haki na amani na mengine mazuri. Kama tukiendelea kuingia katika mtego huo TUTAJUTA !. Hawa wenzetu wana malengo ya kututawala na kupanua nguvu zao, kwa heshima yao kwa watu wao LAKINI sio umoja wa haki. Na hakika tukinaswa hatutoweza kutoka teeeena,..! Tutadhibitiwa vya kutosha. Mimi nashuri tushirikiane nao katika mambo mbalimbali ya kimaendeleo na kijamii LAKINI sio Serikali moja wala Jeshi moja ili tuwe huru kukataa jambo lolote ambalo litatufanya wanyonge. Vilevile tutumie ushawishi tulionao sasa hivi kwa DRC kwa kuunda umoja wetu Imara wa kiuchumi, na ikibidi jambo Hili lianze haraka kabla ya Kenya kujipenyeza kama alivyo jipenyeza sasa. Hisiwe sisi washika mapembe wengine wakamue maziwa. Mifumo yetu ya uendeshaji wa mambo ibadilike iwe tunapanga na kutekeleza mara moja. TUACHE TAMTHILIA. Tanzania Kwanza, Afrika Mashariki baadae sana.
 
wao ndo wanatuhitaji sana zaidi ya tunavyowahitaji wao. The biggest market ya Kenyan Products ni tanzania, na nimesoma sehem wanasema innefficient ya mombasa port imesababisha hata baadhi ya wafanyabiashara wa east africa kuhamia tanzania kenya inclusive. wanataka ardhi yetu.
 
FYI balance of trade btn these two is positive to Tanzania,seems mnakuja humu just to badmouth Kenyans/EAC
 
A few years back Dr Hassy Kitine a former Chief of Intelligence, Diplomat and Academician commented in a TV discussion that there are three countries in Africa south of the Sahara that match in Economic potential through their natural resources and these are Tanzania, Democratic Republic of Congo(DRC) and Angola. He went on to say that a patnership of these giants would not be lopsided as each one of these giants has all the natural resources that the Creator can endow a country. Looking at what is going on within the East African Community I am tempted to advice Tanzania to mantain good relationship with DRC, a country that is not craving for your land. Your current partners have not forgiven and will never forgive you for constantly refusing to make land an EAC issue. I submitt.

Tena naona tuongeze Battalion nyingine huko DRC, hii iwe ni mkataba wa kiulinzi katika ya serekali ya DRC na ya Tz, kama vile USA inavyo linda maslahi yake Saudi Arabia na kwingineko, maana ustawi wa DRc ndio ustawi wa uchumi wetu
 
According to The East African newspaper, it's estimated that DRC has mineral deposits worth about 33 trillion USD! More than the GDP of both United States and the entire EU combined. DRC is a sleeping giant and has the potential to become the number one economy under the sun

Stunning figures indeed!..............damn!
 
A feel good topic for all ant EAC and Kagame/Museven haters lakini reality hakuna and is all BS,mnaongelea DRC wakati hata usafiri wa kufika Kigoma ni shida,agenda zenu ziko driven na emotions tuu na vitu ambavyo havina ukweli hata kidogo kama land,land sio issue na wala sio agenda katika EAC ila mnataka kuifanya issue na hakuna raia wa nje atalazimisha umiliki wa ardhi ya TZ,na Economy za nchi karne hii hazitegemei how much land you have,mngejua how much business mnafanya na hizo nchi tatu combined msingeongea huu utumbo mnaozungumza humu,as off now cargo zote za Rwanda/Uganda a combined of 30m plus people zinaelekea Mombasa kirahisi kwa ajiri ya upuuzi kama huu,mnajua how much money/business from port/fuel/hotels/road tolls/food/mechanics shops/retails/trucking etc watanzania watakazopoteza kwa ajiri ya hili?ni billions of money FYI na sijui ni kwa faida ya nani,pesa inayoingia kwenye Economy kutokana na transit route Dar to nchi hizo ni kubwa kuliko hata gold ambayo hata kodi hawalipi,Tanzania wana export more to Kenya,Uganda,Rwanda kuliko import in billions kila mwaka,nyie watu wekeni stupid politics pembeni na mfikirie kama CEOs responsible to their shareholders and hating Kenya or Rwanda haitawasaidia chochote na futa hizo thinking they need your land.

kweli mwanaume kuolewa ni laana, achana na usa na rudi kwenu ukasidie kujenga rwanda . Tz TUNASONGA MBELE TUNAWAACHA NA CHUKI ZENU ZA KIKABILA.
 
A feel good topic for all ant EAC and Kagame/Museven haters lakini reality hakuna and is all BS,mnaongelea DRC wakati hata usafiri wa kufika Kigoma ni shida,agenda zenu ziko driven na emotions tuu na vitu ambavyo havina ukweli hata kidogo kama land,land sio issue na wala sio agenda katika EAC ila mnataka kuifanya issue na hakuna raia wa nje atalazimisha umiliki wa ardhi ya TZ,na Economy za nchi karne hii hazitegemei how much land you have,mngejua how much business mnafanya na hizo nchi tatu combined msingeongea huu utumbo mnaozungumza humu,as off now cargo zote za Rwanda/Uganda a combined of 30m plus people zinaelekea Mombasa kirahisi kwa ajiri ya upuuzi kama huu,mnajua how much money/business from port/fuel/hotels/road tolls/food/mechanics shops/retails/trucking etc watanzania watakazopoteza kwa ajiri ya hili?ni billions of money FYI na sijui ni kwa faida ya nani,pesa inayoingia kwenye Economy kutokana na transit route Dar to nchi hizo ni kubwa kuliko hata gold ambayo hata kodi hawalipi,Tanzania wana export more to Kenya,Uganda,Rwanda kuliko import in billions kila mwaka,nyie watu wekeni stupid politics pembeni na mfikirie kama CEOs responsible to their shareholders and hating Kenya or Rwanda haitawasaidia chochote na futa hizo thinking they need your land.
Stop bashing people that they are emotional while you are very emotional yourself(watch your diction)...While I hate the feeling that our diplomatic relations with Rwanda are not as good as they used to be I can't stand Kagame's recent bravado!The man lacks class!But again why should Tanzania bow down to Kenyata,Kagame and Museveni?They have decided to ostracize Tanzania and form their own little "community" out of the greater East African Community....and you don't want us to be angry?
 
A few years back Dr Hassy Kitine a former Chief of Intelligence, Diplomat and Academician commented in a TV discussion that there are three countries in Africa south of the Sahara that match in Economic potential through their natural resources and these are Tanzania, Democratic Republic of Congo(DRC) and Angola. He went on to say that a patnership of these giants would not be lopsided as each one of these giants has all the natural resources that the Creator can endow a country. Looking at what is going on within the East African Community I am tempted to advice Tanzania to mantain good relationship with DRC, a country that is not craving for your land. Your current partners have not forgiven and will never forgive you for constantly refusing to make land an EAC issue. I submitt.

Kalabash, haya mawazo ni mazuri na yangetufikisha mbali kama tungekuwa na viongozi wenye uthubutu! The will for change! Motives za mabadiliko zianzie juu (kwa viongozi) kisha zishuke kwa mtu mmoja mmoja. Viongozi wakitimiza wajibu wao, raia nao watatimiza wajibu wao. Uchumi wa nchi utakua. Japani wameweza kuiona Tanzania kama future african economic power, je viongozi wetu wanaionaje Tanzania after 5 to 10 years, "Vision?" na "kuyasimamia maono yao?"

Lakini kwa viongozi wenyewe hawa tulionao sidhani!
 
Back
Top Bottom