SHOOyaKIBABE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,182
- 1,717
...wamepokea taarifa za mapinduzi toka kwa mabeki tatu dhidi ya waume za watu,so wameona bora lawama kuliko fedhea...
Idd mubarak jamani Star tv kulikoni na hii tamdhilia kumetokea nini mbona haionyeshwi tena mwenye taharifa atujuze
Exactly, naskia kuna baadhi ya wake za watu wanalalamika mabeki tatu wao kuwa kama Maya, mume akirudi tu utaskia "sir chief! sir chief!", mara awekewe chai hata kama hajaomba, majanga tu.. Star Tv wameimuvuzisha
Huna uhakika halafu unasadiki.
Ina maana wametudharau watu kila ikifika j4 wanatuacha macho juujuu kama vicheche nyambafu kabisa.
inarushwa kwenye kisimbuzi chao kila cku saa tatu usiku chanel 103 i think...
nina hakika ya kurushwa kwenye simbuz chao ila sina hakika ni chanel namba ngapi... niliona Tangazo lao
Exactly, naskia kuna baadhi ya wake za watu wanalalamika mabeki tatu wao kuwa kama Maya, mume akirudi tu utaskia "sir chief! sir chief!", mara awekewe chai hata kama hajaomba, majanga tu.. Star Tv wameimuvuzisha
hapana
star tv wanakuaga na tendency ya kukatisha tamthilia kila ikifika karibu na mwisho inaweza chukua wiki mbili hadi mwezi ila wataionyesha may b kuanzia agosti
Dah! When you were mine Imeniliza leo!!.
wajnga kwel
kwa nini wanafanya hivyo sasa
Hawaionyeshi halafu hawajatoa taarifa kwa nini wameacha kuionyesha.