C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,080
- 3,769
Wanaume wanapenda sana kuonea tamaa wenzao, wakisikia mwenzio ana uume mkubwa ,kiroho kinamuuma, akiona mwenzie ana mke/demu mzuri kiroho kinamuuma, akiona mwenzie ni mtom...ji mzuri roho inamuuma. Acheni hizo , fanyieni kazi matatizo yenu ili muwaridhishe wake/wapenzi/mademu zenu.
Hilo swali ungeanza kuwauliza wazazi wako mama yako hatoki nje ya ndoa kama anatoka kampe hili darasa baba yako fanya reseach kwa wazazi wako kwanza kabla ya kuanza kuwasema watu wa jf