Be a gentleman, vingine viache vipite

HUu uzi utagombana na rikiboy muda sio mrefu
 
Wee ingia kichwa kichwa hao wa style hiyo unakuta wanakukula hadi tope. Usidanganyike wanaume ni wale wle tuu
Cwez kutumia shda za mtu kupoza tamaa zangu sio utu
 
Mbna mmeegemea upande mmoja, vp kuhusu hawa wanawake ambao ukiwasaidia bila kuomba mbususu wanakuona ww fala

Binafsi kwa hawa wanawake wa sahiv siwez kuwaacha ikiwa naona mazingira ya kupata mbususu yapo
 
Labda awe mwanaume wa Kinondoni, hapo kweli atashindwa kumaliza[emoji3]

Me mbona mtori na chapati mbili napiga vizuri tu.
Tena baada ya hapo nashushia na juice ya miwa glass moja[emoji39]
Tena hiyo juis ya miwa iwe ya bariiid kabisa mana ikiwa ya moto ni sawa na unakunywa mitishamba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…