Be a gentleman, vingine viache vipite

Well said. Inaongena wewe ni mtu mwenye maadili mema. Tungekuwa na watu kamaa wewe dunia ingekuwa mahali pa salama.
 
Sidhan kama umemuelewa vizuri mtoa mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo harakati hazijawahi kufanikiwa tangu watu waanze kuziangaikia, wanawake wenyewe chupi hazitulii kiunoni wakimuona mwanaume anayewavutia hata jama ana bwana ake, hatuna la kufanya zaidi ya kuwapa huduma tu
 
Kitu kimoja ni hakika, huwezi kumfunda mtu mzima maadili mema akiwa mtu mzima. Nauyasemayo ni maadili ambayo mtu hukuwa nayo akifundishwa tangu utotoni. Hiyo siyo acting, huwezi kuigiza utu wema kama huna hata uo utu, huo utu wema ndio mnaouita ugentle man. Sasa wewe hapa unataka watu waigize utu wema, maigizo hayajawahi kumuacha mtu salama. Na hata siku moja maigizo ya utu wema sio kwamba ndio utu wema. Kwasababu wanaume hao hukutana na wanawake wasio na utu wema kama wao wasivyo na utu wema, wakijifanya kuigiza wataumizwa vibaya sana maana wanawake hao hawana huo utu wema. Maadili hayaigizwi lasivyo utamtaka mwanaume aumizwe. Mwanaume mwenye maadili yake hatochangamana na wanawake waaina hiyo na huyo mwanamke hatoweza mpata kama yeye mwenyewe maadili hana. Vikwazo vipo pande zote ila kama wewe ni mtu unamaadili siunajisepea, ukiona binti kakubali ni juu yake na never insist on a grown man aliyejijengea tayari maadili na watu wakuchangamana nao kuwa aigize kuwa mtu mwema wakati waliomzinguka waume kwa wake wote ni mafisi, watamla hadi mifupa. Be yourself, don't act as a gentleman, kama una utu wema hautaacha kutenda wema hayo ya gentleman waachie wazungu. Wanawake uliojizungusha nao kwamaadili uliyokuwa nao tayari hawana utu na walishajipoteza, unataka uigize utu wema si watakuangamiza. Live your life!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huwa napata hasira sana neno kuchezewa linapotumika bila sababu za msingi,kupeana raha na kuchezea wapi na wapi?[emoji276]
 
Labda awe mwanaume wa Kinondoni, hapo kweli atashindwa kumalizaπŸ˜€

Me mbona mtori na chapati mbili napiga vizuri tu.
Tena baada ya hapo nashushia na juice ya miwa glass mojaπŸ˜‹
Huko toi nadhani mzigo unakua mlima.
 
sio kufilisiwa. hatutaki kupoteza utu, Kwani lazima nikulipe ngono ndo uniajiri? si bora hata uniambie utanikata ela kwenye mshahara wa kwanza au kitu kingne 😌
Hela ninayo nataka mbususu yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…