Bahati mbaya sina vocha, ningekupunguzia kidogo uandike mengi zaidi. Umenena maneno mazito sana, watoto nao wana mitego sana lakini ukiwaza kichwani mipango na hasara zake hao viumbe daaaah!!!✍️Wanaume wenzangu sio kila mwanamke alieko karibu na wewe lazima umle no, wengine acha wakupite
Namaanisha labda umefanikiwa vihela vya mboga kidogo anakuja mdada wa watu mrembo anakuomba umtatulie shida yake ya kifedha wewe unamtaka kingono, msaidie aendelee na maisha yake.
Au unamkuta binti wa watu ana maadili hajaolewa na wewe unajua huwezi kumuoa acha kumchezea huyo kiumbe wa watu, muache ajitunze kwa ajili ya mumewe huko mbele ya safari.
Wewe ni boss ofisini unaweza kuajiri, hebu mpe mtu ajira bila kuomba ngono maisha ni zaidi ya ngono.
Jifunze kutoa sadaka, saidia bila kujali maslahi yako ya kingono utapata baraka na amani ya moyo huo ndio uanaume.
Hahaha powa mkuuwalau leo nimekutana na mtu wa tofauti jf, hongera sana umenena vyema mkuu
Well said mkuu.Wanaume wenzangu sio kila mwanamke alieko karibu na wewe lazima umle no, wengine acha wakupite.
Namaanisha labda umefanikiwa vihela vya mboga kidogo anakuja mdada wa watu mrembo anakuomba umtatulie shida yake ya kifedha wewe unamtaka kingono, msaidie aendelee na maisha yake.
Au unamkuta binti wa watu ana maadili hajaolewa na wewe unajua huwezi kumuoa acha kumchezea huyo kiumbe wa watu, muache ajitunze kwa ajili ya mumewe huko mbele ya safari.
Wewe ni boss ofisini unaweza kuajiri, hebu mpe mtu ajira bila kuomba ngono maisha ni zaidi ya ngono.
Jifunze kutoa sadaka, saidia bila kujali maslahi yako ya kingono utapata baraka na amani ya moyo huo ndio uanaume.
Wanawake mkitoa papuchi mnaonaga kama mmetoa pesa nyingi sana, sijui kwanini, kwani mwanaume akikuomba ngono, raha si mnapata wote, tena na hela/misaada unaotaka anakupa juu, mm mwanamke akinipa papuchi na hela mbona bingo hio, au niende mahali kuomba kazi halafu nikute mwajiri ni mwanamke, hlf sharti la kupata kazi ni mpaka nimlale, mbona ni poa hata asiponipa io kazi, wanawake sijui mkoje mkiombwa uchi mnaona kama mnafilisiwa na mnaonewa Leejay49 Leniewalau leo nimekutana na mtu wa tofauti jf, hongera sana umenena vyema mkuu
Ataweza kumaliza huo mtori na chapati mbili? 😅😅kiroka ujengewe sanamu tena katikati ya mji
Umenena vema sana na nafurahi unatambua na kuheshimu thamani ya mwanamke👏👏
Kama hujapata breakfast agiza mtori na chapati mbili nakuja kulipa
AiseeWanawake mkitoa papuchi mnaonaga kama mmetoa pesa nyingi sana, sijui kwanini, kwani mwanaume akikuomba ngono, raha si mnapata wote, tena na hela/misaada unaotaka anakupa juu, mm mwanamke akinipa papuchi na hela mbona bingo hio, au niende mahali kuomba kazi halafu nikute mwajiri ni mwanamke, hlf sharti la kupata kazi ni mpaka nimlale, mbona ni poa hata asiponipa io kazi, wanawake sijui mkoje mkiombwa uchi mnaona kama mnafilisiwa na mnaonewa Leejay49 Lenie
Labda awe mwanaume wa Kinondoni, hapo kweli atashindwa kumaliza😀Ataweza kumaliza huo mtori na chapati mbili? 😅😅
Anyways, naona leo mmekoshwa na ujumbe murua.
sio kufilisiwa. hatutaki kupoteza utu, Kwani lazima nikulipe ngono ndo uniajiri? si bora hata uniambie utanikata ela kwenye mshahara wa kwanza au kitu kingne 😌Wanawake mkitoa papuchi mnaonaga kama mmetoa pesa nyingi sana, sijui kwanini, kwani mwanaume akikuomba ngono, raha si mnapata wote, tena na hela/misaada unaotaka anakupa juu, mm mwanamke akinipa papuchi na hela mbona bingo hio, au niende mahali kuomba kazi halafu nikute mwajiri ni mwanamke, hlf sharti la kupata kazi ni mpaka nimlale, mbona ni poa hata asiponipa io kazi, wanawake sijui mkoje mkiombwa uchi mnaona kama mnafilisiwa na mnaonewa Leejay49 Lenie
Alafu unaenda zako Gym unamuuliza trainerLabda awe mwanaume wa Kinondoni, hapo kweli atashindwa kumaliza😀
Me mbona mtori na chapati mbili napiga vizuri tu.
Tena baada ya hapo nashushia na juice ya miwa glass moja😋
WAAMBIE KWA SAUTI KUBWA UJUMBE UWAFIKIE HAO VIVURUGE.Wanaume wenzangu sio kila mwanamke alieko karibu na wewe lazima umle no, wengine acha wakupite.
Namaanisha labda umefanikiwa vihela vya mboga kidogo anakuja mdada wa watu mrembo anakuomba umtatulie shida yake ya kifedha wewe unamtaka kingono, msaidie aendelee na maisha yake.
Au unamkuta binti wa watu ana maadili hajaolewa na wewe unajua huwezi kumuoa acha kumchezea huyo kiumbe wa watu, muache ajitunze kwa ajili ya mumewe huko mbele ya safari.
Wewe ni boss ofisini unaweza kuajiri, hebu mpe mtu ajira bila kuomba ngono maisha ni zaidi ya ngono.
Jifunze kutoa sadaka, saidia bila kujali maslahi yako ya kingono utapata baraka na amani ya moyo huo ndio uanaume.
Tena nammind kabisa trainer, kwanini amenitapeli maana sipunguiAlafu unaenda zako Gym unamuuliza trainer
mbona sipungui au machine zako mbovu?😁