Be a friend with me

Be a friend with me

fatherbro

New Member
Joined
May 5, 2015
Posts
4
Reaction score
1
Naitaji marafiki wengii wakuchati na kubadilisha mawazoo in our network.

Thanks
 
Marafiki tuu hapa umepata!! weka hayo mawazo yako tubalishane hapa wengine wakija watatujoin..
 
Badoo inahusika

Mkuu vp mzima..??
Jamaa badala afunguke kabisa kwamba anatafuta bibie wa kuruka nae ye anajifanya anatafuta rafiki ngoja akutane na kina lara 1 ndo ataisoma namba!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu vp mzima..??
Jamaa badala afunguke kabisa kwamba anatafuta bibie wa kuruka nae ye anajifanya anatafuta rafiki ngoja akutane na kina lara 1 ndo ataisoma namba!

Niko poa mkuu,vp kwema upande huo??

Me nahic kuna mtu anamtaka humu ndani sema kaamua kuzunguka.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom