BCOM na ada ya mitihani ya ACCA

BelindaJacob

Platinum Member
Nov 24, 2008
6,474
4,022
Habari,

Ukiwa umesomea Bcom pale UDSM unapata exemptions ngapi za mitihani ya ACCA?

Na kama umesomea ADA pale IFM pia unapata exemptions ngapi za ACCA?

Mnisaidie kwa hili wakuu.

Muchas gracias!!!...
 
Habari,

Ukiwa umesomea Bcom pale UDSM unapata exemptions ngapi za mitihani ya ACCA?

Na kama umesomea ADA pale IFM pia unapata exemptions ngapi za ACCA?

Mnisaidie kwa hili wakuu.

Mucho gracias!!!...

Salama!

ACCA wamebadilisha syllabus tangu nilipokuwa involved nao mara ya mwisho - lakini huwa hawana "blanket exemptions" ila huwa wanamu-assess applicant on his/her own merit. Check link hii: Page not found | ACCA
 
For a BCOM (Accounting) Graduate an exemption of four papers that is F1 to F4 is granted though you have to pay for the exempted papers just like what you do with the NBAA. For the rest I have no idea for at the moment.
All the best!!
 
Ukiwa umesoma Bcom FInance wanaexempt F1 to F3 lakini katika application ukisubmit course outline ya business law zote ulizosome wanakuexempt mpaka f4, mimi nilifanikiwa kwa hili niPM nikutumie hizo cource outline kama huna
 
Asante sana mkuu kwa taarifa hizi...nitaingia na site yao kwa more info!!..mana nilijua kuna standard ya exemptions kama umesoma mahali fulani..next sit ni Dec ndiyo mana najiandaa mapema!!
 
For a BCOM (Accounting) Graduate an exemption of four papers that is F1 to F4 is granted though you have to pay for the exempted papers just like what you do with the NBAA. For the rest I have no idea for at the moment.
All the best!!

Whaao!Thanx for useful information...sasa mkuu wewe ulifanya ACCA au CPA? au zote?
Many thanks for wishes...mwaka huu nataka nifanye angalau 2 papers!!
 
Ukiwa umesoma Bcom FInance wanaexempt F1 to F3 lakini katika application ukisubmit course outline ya business law zote ulizosome wanakuexempt mpaka f4, mimi nilifanikiwa kwa hili niPM nikutumie hizo cource outline kama huna

Mkuu, shukrani kwa hii na nitakuPM zaidi kwa more info tusaidiane..nipo kwenye maandalizi nataka niwe na enaf info kupambana na hii..je kama umefanya masters pia iko accountable kwa exemption?..
Thankxxxxx
 
Habari,

Ukiwa umesomea Bcom pale UDSM unapata exemptions ngapi za mitihani ya ACCA?

Na kama umesomea ADA pale IFM pia unapata exemptions ngapi za ACCA?

Mnisaidie kwa hili wakuu.

Mucho gracias!!!...[/QUOTE]
Yaani wewe unanitukana hivi hivi tu, haya bana mi nakumezea tu!.
 
Yego baba, wachamae!!..
sijakutusi Acha kunimezea..nilimaanisha 'Asante Sana' .....:smile:
 
Ukiwa umesoma Bcom FInance wanaexempt F1 to F3 lakini katika application ukisubmit course outline ya business law zote ulizosome wanakuexempt mpaka f4, mimi nilifanikiwa kwa hili niPM nikutumie hizo cource outline kama huna

Mkuu nimejaribu kukuPM ila hupokei hizo PM..naomba unitumie hizo course outline..natanguliza shukrani mkuu!!
 
Whaao!Thanx for useful information...sasa mkuu wewe ulifanya ACCA au CPA? au zote?
Many thanks for wishes...mwaka huu nataka nifanye angalau 2 papers!!

Belinda Jacob, japo hatujuani, kwa jinsi unavyoandika na jinsi una argue, unaweza kuimagine member fulani yukoje.

Sio siri mimi ni mmoja wa wanaokukubali sana, na sasa ndio nimejua, kumbe wewe ni kichwa unapandisha number kihivyo!.

Hongera and all the best.

Pasco.
 
Ukiona mtu anatumia maneno kama mkuu pata habari yake:juggle::juggle:
 
Belinda,
Wellcome to this thing ACCA, I am just done with it last Dec! It is one of the most respected proffesion in accountancy! I always advise people if you are in accountancy and thinking of doing masters (MBA eg) and not ACCA, i think you might be wasting time. I live it, imenitoa kimasomaso!
Hongera sana it is a right choice in business management.
 
What you need to do, try to defend you points in terms of exception coz the moment you give out course outline you may be given a lot. Like mzumbe guys who are doing BAF, wako na so many exceptions. unakuta kati ya 14 papers they are exemted up to 7
 
NiPm nimeishafungua nitakutumia

King nimejaribu na ime-bounce tena..nadhani kwenye settings zako ulikataa kupokea PM's..unaweza tuma blank message kwangu ili nijibu kama itakubali..Hope sikusumbui, vinginevyo unaweza nielezea hapa ukipata nafasi..Natanguliza shukrani sana!!

Belinda Jacob, japo hatujuani, kwa jinsi unavyoandika na jinsi una argue, unaweza kuimagine member fulani yukoje.

Sio siri mimi ni mmoja wa wanaokukubali sana, na sasa ndio nimejua, kumbe wewe ni kichwa unapandisha number kihivyo!.

Hongera and all the best.

Pasco.

Pasco, asante sana!..sijui nisemeje, namba ndio uwanja wangu..ha ha
Nashukuru sana kwa mtazamo wako. Thanks for the wishes, nimedhamiria mana akili sasa inachemka na muda nimeshautenga kwa hilo..
Weekend njema, take care..
Belinda!!
 
Ukiona mtu anatumia maneno kama mkuu pata habari yake:juggle::juggle:

Sawa Mkuu nimekusoma vyema:)) ha ha..

Belinda,
Wellcome to this thing ACCA, I am just done with it last Dec! It is one of the most respected proffesion in accountancy! I always advise people if you are in accountancy and thinking of doing masters (MBA eg) and not ACCA, i think you might be wasting time. I live it, imenitoa kimasomaso!
Hongera sana it is a right choice in business management.

Thanx Shapu nami ndio ninaingia..Nawe pia hongera kwa kuimaliza kabisa mana si mchezo..Basi kama hutojali nitakutafuta pepaz zikianza ila siyo June mana nilichelewa registration, Dec/11 ndio sit yangu..Blessed!!!

What you need to do, try to defend you points in terms of exception coz the moment you give out course outline you may be given a lot. Like mzumbe guys who are doing BAF, wako na so many exceptions. unakuta kati ya 14 papers they are exemted up to 7

So what do you think, should I contact them as well like email/phone au ni kwenye registration tu naweza defend my points? mana unaweza kukosea kidogo kujaza halafu unapata few exemptions, is it possible to reverse au correct information?!!.Mzumbe wako lucky, 7 pepaz tu so good for them...Advice me on this!..
Vipi IFM? waliofanya Adv.Dipl ya A/c? Many thanx Mkuu!!

Hapo sasa ndo umemtusi maana sidhani kama baba aanasalimiwaga chamae

Wakondya kwa kunisahihisha, unajua tabu ya ulimi kuteleza..My apology Mantisa:)))
 
Belinda,
Wellcome to this thing ACCA, I am just done with it last Dec! It is one of the most respected proffesion in accountancy! I always advise people if you are in accountancy and thinking of doing masters (MBA eg) and not ACCA, i think you might be wasting time. I live it, imenitoa kimasomaso!
Hongera sana it is a right choice in business management.

Nina rafiki yangu ana MBA ya UK na ACCA anatafuta kazi sasa almost a yr, kwa interview mara wamuambie yuko overqualified mara hana exp ya kutosha hapa tz.
Any advice please.
 
It's encouraging to see how many people are becoming interested in ACCA. Currently it's the most respected Accountancy profession body globally. Hopefully if we become more numerous we can push for a country office in Tanzania, just like in Uganda and Kenya and many other countries as small as Lesotho. In that way we can a meeting platform where we can be meeting and exchanging ideas on new developments in the accounting profession.
God willing I will be done with the exams by the end of this year.
 
Back
Top Bottom