Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,359
- 2,379
Mtangazaji mahiri wa BBC hasa program ya Focus in Africa bwana Dumor mwenye asili ya Ghana amefariki leo nyumbani kwake akiwa na umri wa miaka 41
RIP Komla Dumor
Hivi karibuni alifanya coverage kwenye mazishi ya Nelson Mandela na pia amepata kufanya mahojiano na watu maarufu kama Bill Gates na Koffi Annan