Huyo Raila ndiye kila siku analalamika kwamba nchi isirudi kwenye utawala wa mihemuko ya mtu mmoja. Labda awe anafanya hivyo kiunafiki.
Vipi mumemuachia Tundu Lissu, naskia hata neno "uchwara" halitajwi tena hadharani. Hehehe!! Sasa kwa jinsi Waswahili mnapenda kuongea ongea sana, hivi mnaishi vipi sasa, maana mumebanwa na kushurutishwa kubaki kimya muda wote. Naweza penda kuwaona jamaa fulani walikua wanapenda kujikusanya vijiweni na kumjadili Mkwere, sasa huyu hapa hilo kazima. Hajadiliwi, hahojiwi, na hakosolewi.....
Hehehe!! Naipenda nchi yangu, uhuru wetu muhimu sana, tuliupata kwa damu na jasho, hatukupokezwa kiulaini.