Kuna jamaa alikuja na uzi humu akidai kasumba ya kusema eti, "kitu fulani ilikuwa zamani bwana"
ni ujuha.
Utasikia, ndoa zamani bwana,
Mara usikie, wanawake zamani bwana.
Na wewe umekuja unasema vile vile, eti BBC ilikuwa zamani,
kwahiyo ya sasa hivi imekuwa Baba yako au!
Yule alikuwa DW Bana siyo BBC UMMY HERI MPKA LEO YUPOKuna yule mama ana sauti nzito kama ya kiume.... alitoka IPP akaenda BBC. Alikuwa anasoma taarifa ya habari siku za jumamosi mechi ikiwa inatangazwa.
huyu huyu.... kuna jamaa wananiambia habari za Dwwakati tunazungumzia BBC.Aisha Yahya
kweli mkuu inaboa sana aisee na vile vimijadala vyao havieleweki kbs....Toka Mkenya alipopewa ukuu wa idhaa ndio ukawa mwanzo wa kuiharibu Radio yetu pendwa. Siku hizi inatia kichefuchefu kabsa. Wamejaa wajaluo hata Kiswahili hawajui. Wamelazimisha makao makuu iwe Nairobi wakati utafiti wao wenyewe BBC unaonyesha wasikilizaji wengi wapo TZ.
Hao wapo VOA Swahili (Voice of America)na sio BBCVipi mkamiti kibayasi marry mgawe bado wapo?
Huyo yupo BBChuyu huyu.... kuna jamaa wananiambia habari za Dwwakati tunazungumzia BBC.
Manase Lukungu.Kigara eee! Amka na BBC, Kinshasha eeh! Amka na BBC kwa masafa mafupi na ....
BBC ya enzi hizo asikwambie mtu.Ilisheheni manguli wa habari. Lubunga Byaombe (DRC) Tido Mhando, Suzan Mongi, Mariam Omary, Aisha Yahaya, Chama Omary Matata, Greipo Mbea (Mtaalamu wa mashairi), Iddy Seif, Zuena Seif, Suluma Kasimu, Ali Salehe, Ali Mutasa (Mtaalamu wa uchumi), Abdalah Majura,( Michezo). Baadae wakaja akina Hasan Mhelela, Salim Kikeke, Charles Hilal. I surely miss those ancient beautiful days.
vip sasa hiviKigara eee! Amka na BBC, Kinshasha eeh! Amka na BBC kwa masafa mafupi na ....
BBC ya enzi hizo asikwambie mtu.Ilisheheni manguli wa habari. Lubunga Byaombe (DRC) Tido Mhando, Suzan Mongi, Mariam Omary, Aisha Yahaya, Chama Omary Matata, Greipo Mbea (Mtaalamu wa mashairi), Iddy Seif, Zuena Seif, Suluma Kasimu, Ali Salehe, Ali Mutasa (Mtaalamu wa uchumi), Abdalah Majura,( Michezo). Baadae wakaja akina Hasan Mhelela, Salim Kikeke, Charles Hilal. I surely miss those ancient beautiful days.
Aisee hongera zakeSaivi BBC wamechukua kifaa kipya kutoka DW, Caro Robi. Ana bahati sana kuunganisha radio mbili mfululizo. Ni mkenya ila namkubali sana.
Sauti ya Chama Omary Matata ni nyingine kabisaAli Mutasa.
Makala zake uwe na akili sana ndio umuelewe. Namkubali sana pia Chama Omar Matata.
Byaombe Mara ya mwisho nilisikia ni mwandishi wa rais mstaafu wa DRC-Kabila JosephLubunga Byaombe sijui yuko wapi yule jamaa. Nilikuwa nasikiliza sana BBC Swahili kuanzia 2007..Tumbo risasi.
Lubunga Byaombe sijui yuko wapi yule jamaa. Nilikuwa nasikiliza sana BBC Swahili kuanzia 2007..Tumbo risasi.