Ali Salehe mwisho wa matatizoKigara eee! Amka na BBC,Kinshasha eeh! Amka na BBC kwa masafa mafupi na ....
......BBC ya enzi hizo asikwambie mtu.Ilisheheni manguli wa habari. Lubunga Byaombe(DRC) Tido mhando, Zusan Mongi,Mariam Omary, Aisha Yahaya, Chama Omary Matata, Greipo Mbea,( Mtaalamu wa mashairi) Iddy Seif, Zuena Seif, Suluma Kasimu ,Ali Salehe, Ali Mutasa ( Mtaalamu wa uchumi),Abdalah Majura,( Michezo).Baadae wakaja akina Hasan Mhelela, Salim Kikeke, Charles Hilal. I surely miss those ancient beautiful days.
Regina Mwalekwa? Oumirkher ndio ana sauti ya Zege DW.kuna yule mama ana sauti nzito kama ya kiume.... alitoka IPP akaenda BBC. Alikuwa anasoma taarifa ya habari siku za jumamosi mechi ikiwa inatangazwa.
Leo Ijumaa BBC haipo hewani RFA.
Aisha Yahyakuna yule mama ana sauti nzito kama ya kiume.... alitoka IPP akaenda BBC. Alikuwa anasoma taarifa ya habari siku za jumamosi mechi ikiwa inatangazwa.
Ali Mutasa.Kigara eee! Amka na BBC,Kinshasha eeh! Amka na BBC kwa masafa mafupi na ....
......BBC ya enzi hizo asikwambie mtu.Ilisheheni manguli wa habari. Lubunga Byaombe(DRC) Tido mhando, Zusan Mongi,Mariam Omary, Aisha Yahaya, Chama Omary Matata, Greipo Mbea,( Mtaalamu wa mashairi) Iddy Seif, Zuena Seif, Suluma Kasimu ,Ali Salehe, Ali Mutasa ( Mtaalamu wa uchumi),Abdalah Majura,( Michezo).Baadae wakaja akina Hasan Mhelela, Salim Kikeke, Charles Hilal. I surely miss those ancient beautiful days.
Miongoni mwa watangazaji wenye sauti nzuriiiii ya kuvutia.Ali Salehe mwisho wa matatizo
Huyo ni Oumilkheir Hamidou ana sauti nzito na nzuri sana akitangaza, wa DWkuna yule mama ana sauti nzito kama ya kiume.... alitoka IPP akaenda BBC. Alikuwa anasoma taarifa ya habari siku za jumamosi mechi ikiwa inatangazwa.
Regina (Mwalekwa) Mziwanda.Regina Mwalekwa? Oumirkher ndio ana sauti ya Zege DW.
Toka Mkenya alipopewa ukuu wa idhaa ndio ukawa mwanzo wa kuiharibu Radio yetu pendwa. Siku hizi inatia kichefuchefu kabsa. Wamejaa wajaluo hata Kiswahili hawajui. Wamelazimisha makao makuu iwe Nairobi wakati utafiti wao wenyewe BBC unaonyesha wasikilizaji wengi wapo TZ.