Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?
Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!
Lakini walicho ripoti bbc ni kweli kabisa kwani saiz dola moja ni sawa na zaidi ya sh 2000 za kitanzania
Unaukataa ukweli? Tz shilingi ni sheeder, haina thamani dhidi ya dola toka mwaka juzi 2200/= au una asilimia ya ubishiWashenzi hawa wakenya,bbc swahili wameifanya kijiwe,na kupendelea kenya,wakati mie naona wasikilizaji wengi wapo Tanzania,na baadhi ya watanzania waliopo bbc ni kama mananga,hawana uzalendo,yaani wakenya wasiojua hata kiswahili ndo wanawaburuza kwa kupendelea habari za kenya,kweli mkuu wanakera sana.
ukweli unaumaYaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?
Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!
Hii ni myth ' Wakenya wasiojua Kiswahili' Yaani nyie Kiswahili chenu cha gali, nzuli, mshahala, kula (kura) ndiyo Kiswahili? Kenya hutoa kila mwaka wanafunzi 4000 waliohitimu BA ya Kiswahili. Nyie blabla blaaaaa
Vipi unataka aje tbc nn?
Mkuu mbona unatujumuisha wote??mimi nafurahia wanapo onyesha ubovu wa ccm
unadhani nchi ikabidhiwe kwa nani. toa ushauri hapa hapa. usiropoke alafu unaingia mitiniKwani si kweli mkuu? Haya yote ni kuwakumbatia MACCM na nakuhakikishia Watanzania wakikabidhi nchi hii tena kwa CCM 2020 tutatumia dola badala ya shilingi..
Kuna watu wanahofia mambo yao kutaja hadharani kuliko wao kuyatenda hayo mambo...Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?
Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!