akilikubwa
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 590
- 108
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi? Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!!!
Hii nchi vitu vingi ni hovyo ndugu yangu mfn.magufuli anashangaa jana kwa nn tanzanite inatoka tz ila wauzaji ni india na kenya ni upumbavu kwani yy km sehemu ya serikali ilitakiwa atupe majibu sio kuuliza.barabara atajenga six line wakati leo ndio waziri mwenye zamana hajaweza ni ujanja unjanja tu hawa watawala,reli wameua leo kenya wanajenga yy anatupa story,tumezidi wacha tusemwe vibaya tu labda tutajifunza.Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi? Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!!!
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi? Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!!!
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi? Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!!!
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi? Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!!!
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi? Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!!!
Labda Kama husikii Kiswahili vizuri.pesa iliyotajwa kushuka thamani sana leo ni Randy ya Africa kusini sijasikia pesa ya Tanzania but all in all BBC hawatangazi habari Kama Tanzania Daima au Gazeti la uhuru kwahivo tegemea habari mchanganyiko brother.
ulikuwa hujui CCM ktk propaganda zake za kijamaa ilihakikisha KUPITIA UDSM watu wao wanakwenda ili wakafanye vittu wazungu hawakuwahi fikiria kufanya kazi ya kupinga west,kupinga Israeli na kuendeza propaganda za kimasharikini,huku wakihakikiksha wanaoitwa magwiji wa habari na wachambuzi wa kisiasa ni akina Bushiru,Shivji, Prof marehem Haroub Othman, Nkamia na wengine ?CCM ilishida ktk hilo ,ila time ya kufa wanashindwa ktk hilo...Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi? Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!!!