Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi? Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!!!
kuna ukwel lakini, pole!

Washenzi hawa wakenya,bbc swahili wameifanya kijiwe,na kupendelea kenya,wakati mie naona wasikilizaji wengi wapo Tanzania,na baadhi ya watanzania waliopo bbc ni kama mananga,hawana uzalendo,yaani wakenya wasiojua hata kiswahili ndo wanawaburuza kwa kupendelea habari za kenya,kweli mkuu wanakera sana.
we aman unaiona si tunu nenda somalia ukaishi mogadishu uone. watu wanatamani hii amani we unaleta upumbavu wenu hapa. museveni anaexist kwa kuwaletea waganda amani tu na wameridhika sembuse sisi tunafany uchaguz wa demokrasiaTanzania nn kizur kushinda kenya zaid ya aman na upumbavu na ulofa tuu.
kuhitimu kwa wingi ndo kujua kiswahili sanifu? watu wangapi wanaojifunza kiswahili kutoka ng'ambo wanakuja kenya kujifunza hapo? njooni bongo mjifunze kiswahili sanifu sio mtu kasoma ba kiswa anaongea msamiati km mtoto wa miaka miwili bongoHii ni myth ' Wakenya wasiojua Kiswahili' Yaani nyie Kiswahili chenu cha gali, nzuli, mshahala, kula (kura) ndiyo Kiswahili? Kenya hutoa kila mwaka wanafunzi 4000 waliohitimu BA ya Kiswahili. Nyie blabla blaaaaa
Nashangaa Kikeke anafanya nini huko.