BBC Swahili ni kituo cha kueneza Propaganda za Uislam?

Status
Not open for further replies.

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
21,627
Reaction score
43,007
Kila nikisikiliza BBC Swahili ninachosikia ni 80% ya habari zao zinahusu Uislam,Waislam na mambo yanaohusiana na imani hiyo.

Hii haijaanza jana wala majuzi lilipoibuka kundi la IS ila ni kuwa inaonekana wao hizo ndizo habari kipaumbele chao wanazotaka kulisha wasikilizaji wa idhahaa hiyo ya Kiswahili.

Swali langu hivi BBC Swahili hamuoni habari zaidi ya hizo kiasi cha kushehenesha 80% ya habari zenu kuhusiana na Uislam, Waislam na mambo yanayohusiana na dini hiyo?

Au ndio kusema nyie mmekuwa news outlet au kisemeo cha Waislam?
 
Mfano jana ukiacha habari za IS,habari ingine ni ya msikiti huko Dubai sijui umejengwa kwa green tech, leo ukiacha habari za IS habari ingine ni msikiti wa afrika kusini sijui umekubali mashoga na wanawake, yaani kwao habari ni hizo tu.

Mnakera sana nyie watu au ndio vichwa vimewajaa udini hadi huko ughaibuni?
 
Usishangae maana hata hivyo walioko huko asilimia kubwa toka zamani ni walewale hivyo kudumisha si mbaya sana.
 
we hujui kuwa uislam ndio tishio duniani

Kama Uislam ni tishio au sio tishio sio jambo la muhimu....swali langu kwani hiki ni kituo cha dini ya Kiislam? Kwa nn wao habari zao kila.siku ni za mrengo wa Uislam tu?
 
Mfano jana ukiacha habari za IS,habari ingine ni ya msikiti huko Dubai sijui umejengwa kwa green tech, leo ukiacha habari za IS habari ingine ni msikiti wa afrika kusini sijui umekubali mashoga na wanawake, yaani kwao habari ni hizo tu.

Mnakera sana nyie watu au ndio vichwa vimewajaa udini hadi huko ughaibuni?

Pole sana hii ni kwa sababu Waislaam wenzako wasiojua maana ya uislaam wanafanya mambo ya kipuuzi. Wanabaka wanawake, wanaua kila mtu anayewapinga.
In USA I trust atawateketeza wote wafanyao haya.

BBC bomba sana
 
Kama Uislam ni tishio au sio tishio sio jambo la muhimu....swali langu kwani hiki ni kituo cha dini ya Kiislam? Kwa nn wao habari zao kila.siku ni za mrengo wa Uislam tu?

Siyo lazima uwasikilize! Are u happy na kuchinjwa kwa wanadamu wenzako???
 
Kila nikisikiliza BBC Swahili ninachosikia ni 80% ya habari zao zinahusu Uislam,Waislam na mambo yanaohusiana na imani hiyo.

Hii haijaanza jana wala majuzi lilipoibuka kundi la IS ila ni kuwa inaonekana wao hizo ndizo habari kipaumbele chao wanazotaka kulisha wasikilizaji wa idhahaa hiyo ya Kiswahili.

Swali langu hivi BBC Swahili hamuoni habari zaidi ya hizo kiasi cha kushehenesha 80% ya habari zenu kuhusiana na Uislam, Waislam na mambo yanayohusiana na dini hiyo?

Au ndio kusema nyie mmekuwa news outlet au kisemeo cha Waislam?

Mleta mada mimi binafsi sijakuelewa,labda nikuulize hutaki kusikia uislamu na habari zake zikitajwa B.B.C ama vipi?.Achilia mbali uhakika wa habari hizo?.Nilivyokuelewa hutaki kusikia habari za uislamu hata kama habari hizo ziko dhidi ya uislamu.Umeshawahi kufanya utafiti kuwa hiyo % uliyoisema ina dhamira gani?.Mkuu B.B.C na vyombo vyote vya habari duniani hasa vya magharibi viko dhidi ya uislamu.Na ndo maana waislamu wengi hawaamini kwa kiasi kikubwa vyombo hivi!.
 
kwani umelazimishwa kuwasikiliza? acha porojo za kijinga wewe udini utakumaliza!
 
Kila nikisikiliza BBC Swahili ninachosikia ni 80% ya habari zao zinahusu Uislam,Waislam na mambo yanaohusiana na imani hiyo.

Hii haijaanza jana wala majuzi lilipoibuka kundi la IS ila ni kuwa inaonekana wao hizo ndizo habari kipaumbele chao wanazotaka kulisha wasikilizaji wa idhahaa hiyo ya Kiswahili.

Swali langu hivi BBC Swahili hamuoni habari zaidi ya hizo kiasi cha kushehenesha 80% ya habari zenu kuhusiana na Uislam, Waislam na mambo yanayohusiana na dini hiyo?

Au ndio kusema nyie mmekuwa news outlet au kisemeo cha Waislam?

Hater..!! Si usikilize hizo zisizoleta habari za waislamu? Ndio maana kukawa na choices, badala ya kulalama ovyo, sikiliza unachoona kinakufaa.
 
Hujaeleweka ina maana waislam wanapendelewa au wanaponda ?
 
Tatizo lenu waislam ndilo hilo yani nyie mkiwa mnauwa watu hamtaki kabisa habari zenu zitangazwe, ila ikitokea mnauawa nyie utasikia malalamiko yake aaaah dhuruma vyombo vya habari wanauwa waislam hawatangazi, yani nyie walalamishi, alafu cha kushangaza watangazaji wa hizo habari za BBC karibia wote ni waislam, na wanachotangaza ni kweli!
 
Kila nikisikiliza BBC Swahili ninachosikia ni 80% ya habari zao zinahusu Uislam,Waislam na mambo yanaohusiana na imani hiyo.

Hii haijaanza jana wala majuzi lilipoibuka kundi la IS ila ni kuwa inaonekana wao hizo ndizo habari kipaumbele chao wanazotaka kulisha wasikilizaji wa idhahaa hiyo ya Kiswahili.

Swali langu hivi BBC Swahili hamuoni habari zaidi ya hizo kiasi cha kushehenesha 80% ya habari zenu kuhusiana na Uislam, Waislam na mambo yanayohusiana na dini hiyo?

Au ndio kusema nyie mmekuwa news outlet au kisemeo cha Waislam?

islam is making world's headlines. nenda aljazeera, cnn, na wengineo uone. the first headline will be of relating to islam or islamic country.
 
Bado hajaeleweka hasa anakusudia nini!.Anatakiwa afunguke!.
 
Hamlali kila mnaposikia islam, pole sana nakushauri usikirize radio tumaini au radio maria utakonda bure kusikiriza bbc. Na zingine
 
Mleta uzi huna lolote zaidi ya chuki dhidi ya uislam! Anyway fanya sherehe maana si unaona raaha wanvyouawa? Kwa taarifa yako habar ya jana ya msikit wa Dubai ulioneshwa mchana, na CNN, ALJAZEERA,BBC English ,na PRESS TV, huna lolote chuki yako ni kuwa baadhi watangazaji wa BBC SWAHILI NI MUSLIM(salim kikeke, Zuhura yunus, kasim kayira) ha ha haaaa kajinyonye!
 
Sidhani kama wanafanya makusudi... wanaochinja watu ni waislam, waislam wanauana wenyewe kwa wenyewe, magaidi wengi ni waislam, wanaoteka na kubaka huko Nigeria ni waislam, .. sasa wafanyeje wakati hizo ndizo habari?
 
Muelewe vizuri mtoa mada,anachokusudia ni kwamba kuna mengi yapo tena mabaya mbona hayatangazwi sana na BBC
1.maaskofu mashoga,
2.watoto kubakwa na makasisi makanisani.
3.mapadre na masista kufanyana madhabahuni n.k
Anaona yakitangazwa hayo huenda ahueni ikapatikana.
 
Hawa watu wanadhani kiswahili ni ushwahili ambao ndio uislam. Wajifunze. Tanzania haitumii kiswahili kwa mantiki ya udaku na upashkuna. We are at higher levels for such idiotic mentalities. Wekeni namba zao za simu hapa tuwaambie. Watoe habari zenye mashiko kwa lugha ya kiswahili na siyo ujinga ujinga wanaoufanya. Hawakupewa leseni kutuhabarisha habari za dini za kigaidi hapa.

Back
Top Bottom