BBC swahili, Dira ya Dunia imepoteza mvuto!

Head of BBC Swahili kwa sasa ni anatokea KENYA sio Tanzania kwa hio wamehamishia huko anaitwa Rachel Akidi Okwir, Head of East Africa Languages, is based in Nairobi, Kenya

Hilo nalielewa!
Kabla haijahamia Kenya,ikiwa London hakukuwa na bias, ama tuseme ipo Policy mpya kwamba kwa kuwa huyo head ni mkenya awe selective kwa habari za mataifa mengine ama pande zingine za dunia?
 
Hapo sijaelewa Ila kuna mabadiriko anapoingia boss mpya si unajua anaweza akahamisha vitu vyote vya mtangulizi wake akapeleka store akaleta vitu vipya
✍️
 
Head of BBC Swahili kwa sasa ni anatokea KENYA sio Tanzania kwa hio wamehamishia huko anaitwa Rachel Akidi Okwir, Head of East Africa Languages, is based in Nairobi, Kenya
Sio kwamba bbc radio ndio bongo alfu bbc tv ndio kenya
 
Kwa wafuatiliaji wa Bbc swahili dira ya dunia, kupitia matangazo yanayorushwa saa tatu usiku kuanzia jumatatu hadi ijumaa kupitia Star tv watakubaliana nami kuwa urushaji wa taarifa umekosa mvuto!

Tokea Charles Hilary aondoke, huku akifuata Zuhura Yunus na hatimae Salim Kikeke, Mariam Omary pamoja na Saluma Kassim utangazaji wa taarifa zake hauna mvuto kabisa!

Watangazaji wanaotangaza hivi sasa hawavutii kuwasikiliza na hata taarifa zinazotangazwa mara nyingi ni kutoka Kenya, na hata kwenye mijadala mara nyingi wakenya ndio wanakuwa wanashirikishwa zaidi, tofauti na hapo awali ambapo kulikuwa na balance!

Hivi sasa BBC haina tofauti na KBC ama Citizen Tv za Kenya!

Dah uko sahihi mkuu leo nilibahatika kuangalia mpk nikamkumbuka kikeke na kina charlz hilary
 
Kwa wafuatiliaji wa Bbc swahili dira ya dunia, kupitia matangazo yanayorushwa saa tatu usiku kuanzia jumatatu hadi ijumaa kupitia Star tv watakubaliana nami kuwa urushaji wa taarifa umekosa mvuto!

Tokea Charles Hilary aondoke, huku akifuata Zuhura Yunus na hatimae Salim Kikeke, Mariam Omary pamoja na Saluma Kassim utangazaji wa taarifa zake hauna mvuto kabisa!

Watangazaji wanaotangaza hivi sasa hawavutii kuwasikiliza na hata taarifa zinazotangazwa mara nyingi ni kutoka Kenya, na hata kwenye mijadala mara nyingi wakenya ndio wanakuwa wanashirikishwa zaidi, tofauti na hapo awali ambapo kulikuwa na balance!

Hivi sasa BBC haina tofauti na KBC ama Citizen Tv za Kenya!
NAKAZIA !
 
Na yule mtangazi wa kiume anaesoma magezeti asubuhi Radio free Afrika anabo Sana smuachie yule wa like anakizi viwango vya yule mwanaume anaesoma weekend.
 
Head of BBC Swahili kwa sasa ni anatokea KENYA sio Tanzania kwa hio wamehamishia huko anaitwa Rachel Akidi Okwir, Head of East Africa Languages, is based in Nairobi, Kenya
Sishangai kule Arusha nilichoka baada ya kukuta mwalimu wa kiswahili international schoool moja ni anatokea kenya.
 
Back
Top Bottom