BBC na umakini wa habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BBC na umakini wa habari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BIN BOR, Feb 17, 2011.

 1. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Leo hii asubuhi BBC waliripoti vifo 32, sasa wamesema 20. Katika maafa ya Arusha napo walikuja na figure zao, nani anawapa habari hawa ndugu?
   
 2. M

  Mmongolilomo Senior Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 135
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Chunguzeni kwa makini pengine kweli kwani mkanganyiko ni mkubwa
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,408
  Trophy Points: 280
  serikali..wewe unafikiri watawaambia ukweli?
   
 4. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaha ndo bongo hiyo kuna mwakilishi wa BBC hapo wewe, naye ni CCM pure so unategemea nini?

  Akisema out alivyoambiwa na serikali hana kazi
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mfumo wa vyombo vya nje ni kununua habari, kwa maana mchakachuaji wa habari ni huyo aliyewauzia hiyo habari
   
Loading...