Andika kitabuTukio hilo la mmarekani mweusi ndio litakalo futa kabisa habari ya corona duniani.
Title iwe
How the death of a Black man killed the Pandemic
Andika kitabuTukio hilo la mmarekani mweusi ndio litakalo futa kabisa habari ya corona duniani.
Usinionee Chief! Yaani Kama umombo haupandi ndo ushamba[emoji41]Hiyo BBC unayoongelea ni kwa ajili ya Maziwa Makuu. Ndio maana wanaongelea mambo ya Maziwa Makuu na lugha zake ni Kiswahili na Kinyarwanda. Sisi tunaongalia BBC na DW za Kimbombo tunakwambia kuwa wanaongelea yanayotokea Marekani siku nzima mpaka ina-bore. Acha ushamba. Tune in BBC News English Service. Kama Umbombo haupandi, endelea kusubiri Salim Kikeke, uangalie habari za CHADEMA, ule ukalale.
Kuzipeleka dunia ipi? Ushawahi kusikiliza BBC hausa huku Tanzania?BBC Swahili hata Zambia haisikiki sasa dunia ipi unaongelea. Ushawahi ona BbC world wanaizungumzia Tanzania? Halafu kama kuna ubaya je unazushwa au kuna ukweli? Kama kuna ukweli basi tujirekebishe ila kama wanatusingizia sawa.Kwa hiyo hizi idhaa malengo yake ni kutafuta habari mbaya mbaya za Afrika na kuzipeleka duniani ila kutuletea kinachoendelea duniani kwa lugha yetu tuelewe sio malengo?
Siyo ingekua Africa sema ingekua Tanzania.Kile kinachoendelea Marekani ingekuwa Afrika polisi wangeshaua RAIA wengi sana wasio na hatia. Wale askari wa Marekani ni wazalendo kwelikweli.
Ina maana hujui tofauti ya BBC swahii na. BBC World au DW Swahili na DW NewsHivi vyombo vya habari vya kimataifa viko bize na update za korona wakati huo huo Mataifa mengi yakiwa bize na maandamano na mikusanyiko ya kuwasapoti wamarekani weusi wanaodai haki ya kutonyanyaswa na polisi wa kizungu ambapo hakuna social distance wala barakoa.
Hivi vyombo vya habari huu ndio muda sahihi wa kujitafakari. Wakigusia kinachoendelea huko wanadonyoa donyoa wala hata hawaingii ndani kwa kuhoji wachambuzi.
Tuseme hawataki kulikuza, lakini tujiulize ingekuwa yanatokea Afrika wangedonyoa donyoa juu juu tu au ndio ingekuwa ajenda kuu?
DW leo habari yao kubwa ilikuwa Chadema kuanza mchakato wa Urais, habari ambayo imetafutiwa mchambuzi wakati tulishaichambua hapa JF.
Usinionee Chief! Yaani Kama umombo haupandi ndo ushamba[emoji41]
Nachojiuliza ni kwamba hizi idhaa zipo kuripoti habari zinazopatikana maziwa makuu tu na hazitakiwa kuripoti kwa undani habari zinazotokea huko kwingine ili wana na binti wa maziwa makuu nao wahabarike kwa undani na habari hizo?
BBC na DW ni propagandists kama zilivyo CNN na skynews kwa sababu wamelalia magharibi ,mno kuliko hata uhalisia wenyeweHivi vyombo vya habari vya kimataifa viko bize na update za korona wakati huo huo Mataifa mengi yakiwa bize na maandamano na mikusanyiko ya kuwasapoti wamarekani weusi wanaodai haki ya kutonyanyaswa na polisi wa kizungu ambapo hakuna social distance wala barakoa.
Hivi vyombo vya habari huu ndio muda sahihi wa kujitafakari. Wakigusia kinachoendelea huko wanadonyoa donyoa wala hata hawaingii ndani kwa kuhoji wachambuzi.
Jiwe kajaribu Watanzania wengi sana na propaganda zake..hivi kuna habari inayotangazwa zaidi ya hayo maandamano ya Marekani Sasa hivi? Hata Corona imesahaulika..Hata ya Kiswahili wanatangaza kila siku
Mbona hata ya Kiswahili ndio habari kuu siku hizi,Hiyo BBC unayoongelea ni kwa ajili ya Maziwa Makuu. Ndio maana wanaongelea mambo ya Maziwa Makuu na lugha zake ni Kiswahili, Luganda na Kinyarwanda. Sisi tunaoangalia BBC na DW za Kimombo tunakwambia kuwa wanaongelea yanayotokea Marekani siku nzima mpaka ina-bore. Acha ushamba. Tune in BBC News English Service. Kama Umombo haupandi, endelea kusubiri Salim Kikeke, uangalie habari za CHADEMA, ule, ukalale.
Sababu hufuatiliagi habari, mbona Amnesty International na Human Rights Watch wameongea against matumizi ya jeshi?Wewe una shangaa BBC na DW, mimi mpaka sasa wanaharakati wa haki za binaadamu sijawasikia kabisa au labda Ulaya hawapo.
Wala viongozi wa mataifa makubwa wakikemea uvunjivu wa haki za binadamu au labda mkubwa mwenzao.
Mbona hata ya Kiswahili ndio habari kuu siku hizi,
Hiyo BBC unayoongelea ni kwa ajili ya Maziwa Makuu. Ndio maana wanaongelea mambo ya Maziwa Makuu na lugha zake ni Kiswahili, Luganda na Kinyarwanda. Sisi tunaoangalia BBC na DW za Kimombo tunakwambia kuwa wanaongelea yanayotokea Marekani siku nzima mpaka ina-bore. Acha ushamba. Tune in BBC News English Service. Kama Umombo haupandi, endelea kusubiri Salim Kikeke, uangalie habari za CHADEMA, ule, ukalale. Hahahahahahahahahah
Hivi vyombo vya habari vya kimataifa viko bize na update za korona wakati huo huo Mataifa mengi yakiwa bize na maandamano na mikusanyiko ya kuwasapoti wamarekani weusi wanaodai haki ya kutonyanyaswa na polisi wa kizungu ambapo hakuna social distance wala barakoa.
Hivi vyombo vya habari huu ndio muda sahihi wa kujitafakari. Wakigusia kinachoendelea huko wanadonyoa donyoa wala hata hawaingii ndani kwa kuhoji wachambuzi.
Tuseme hawataki kulikuza, lakini tujiulize ingekuwa yanatokea Afrika wangedonyoa donyoa juu juu tu au ndio ingekuwa ajenda kuu?
DW leo habari yao kubwa ilikuwa Chadema kuanza mchakato wa Urais, habari ambayo imetafutiwa mchambuzi wakati tulishaichambua hapa JF.