Walichoandika, wao ni primary source au wametumia reference?!Zama za media za UK na USA kuwa sources za truth zimeisha
It stopped to be absurd, and something to ignore a moment Rais kutoka nchi ambayo watu wake wengi wana uelewa mdogo, alipoongea hadharani almost kitu kile kile kwamba baadhi ya barakoa zina coronavirus!! Btw, hivi unapuuza vipi post iliyokuwa shared karibu mara 40K?It is absurd kuona BBC anaquote 2 Facebook posts kuhusu blue masks na kufanya hizo posts ziwe representative wa zaidi ya watu bilioni moja Africa
Hiyo ya kuwa ni African issue/misconception umeisema wewe, walichosema wao ni:-Mbaya zaidi wanaquote kujifukiza kama pia the Africa issues/misconception...
Mnashangaza sana mnaposhabikia kauli kama hizo, na hamtaki kuona watu wanaweka kumbukumbu sawaThe false claim that inhaling steam is an effective treatment against coronavirus has surfaced once again, this time in Tanzania with an endorsement by its president.
Hiyo miaka yote mlikuwa mnajifukisha ili kutibu au kuua coronavirus kama alivyodanganya Magufuli kwamba kujifukisha kunaua virus?!Tumejifukiza for decades, na hatujifukizi Kwa mvuke wa maji Tu Bali kuna volatile oils, chemicals na other therapeutic ingredients kwenye hot steam
Maajabu haya... yaani hutaki watu kuweka rekodi sahihi eti kisa na "kwao" yamewashinda?!It's laughable Kwamba BBC wanahangaika na Sisi wakati kwao hakujapoa
Wewe uko kundi gani?Majority of people in this continent are "dumb by nature"....shitholes countries.
Lazima mshipa wa shingo ukukatike, we'll continue to "kujifukiza", kunywa chai ya tangawizi mix limao, majani ya mlonge nk hadi hili lipite. Tumefanya hivyo miaka mingi tu na hata hao BBC na ndugu zao waliofanya projection ya more than 10million deaths kufikia July wataendelea kushangaa.Walichoandika, wao ni primary source au wametumia reference?! It stopped to be absurd, and something to ignore a moment Rais kutoka nchi ambayo watu wake wengi wana uelewa mdogo, alipoongea hadharani almost kitu kile kile kwamba baadhi ya barakoa zina coronavirus!! Btw, hivi unapuuza vipi post iliyokuwa shared karibu mara 40K?
Hiyo ya kuwa ni African issue/misconception umeisema wewe, walichosema wao ni:-Mnashangaza sana mnaposhabikia kauli kama hizo, na hamtaki kuona watu wanaweka kumbukumbu sawa Hiyo miaka yote mlikuwa mnajifukisha ili kutibu au kuua coronavirus kama alivyodanganya Magufuli kwamba kujifukisha kunaua virus?!
Maajabu haya... yaani hutaki watu kuweka rekodi sahihi eti kisa na "kwao" yamewashinda?!
Yale yale... sounds like mmekaririshwaTUMEFANYA HIVYO MIAKA MINGI TU!!Lazima mshipa wa shingo ukukatike, we'll continue to "kujifukiza", kunywa chai ya tangawizi mix limao, majani ya mlonge nk hadi hili lipite. Tumefanya hivyo miaka mingi tu na hata hao BBC na ndugu zao waliofanya projection ya more than 10million deaths kufikia July wataendelea kushangaa.
Nakuambia utakatika mshipa wa shingo wewe. Hatred has never been good to anyone.Yale yale... sounds like mmekaririshwaTUMEFANYA HIVYO MIAKA MINGI TU!!
Nimeuliza hapa: Hiyo miaka mingi mliyofanya hivyo mlikuwa mnafanya ili kuua coronavirus kama alivyosema Magufuli kwamba ukijifukisha unaua virus?!
Yaan hata sielewi unachokiongea nini, umeacha mada unaanza kuropoka kama umekunywa maji ya chooni,Upumbavu ni huo wa kwako!!
Jibu swali la msingi! Wewe umedai wanaofuata maelekezo ya Kisayansi wanapelekeshwa na Wazungu na kuiga kama nyumbu:-Hapo hapo kila post unasisitiza "Stay at Home"
Again, hiyo "Stay at Home" unayoisisitiza mara kwa mara na yenyewe ni njia ya Kiafrika?! Au kwavile Wazungu wamesema "Stay at Home" na wewe umeamua kukazana kila wakati "Stay at Home" kama nyumbu vile?!
Mie unitoe kwenye majumuisho yako, utasemaje "sisi" tupambane, hapo mie niondoe plskila mtu apambane na hali yake, hao wazungu wapambane kivyao na sisi tupambane kivyetu
all we need is survival / healing tricks, ata kama zita sound crazy kama zinatusaidia kivyetu vyetu tupambana nazo
BBC na wazungu wote pambana na hali zenu na sisi tunapambana na hali yetu
Point bado ni mvuke, kwani hayo majani hayachemshwi na majiKuna tofauti Kati ya kilichoandikwa kwenye reference yako na alichosema Magufuli.
Nukuu yako inazungumzia mvuke wa maji wakati Magufuli anazungumzia mvuke wa madawa(miti, majani, mizizi au madini yaliyochemshwa au kuchomwa)
Utakuwa huna watoto na huwezi kufertilizeWapambane tu, hata hizo chanjo zao waanze kutumia watoto wao huko
hapa watu tunamsubiri babu aseme kikombee kama kipo ready! tukajidunge kikombe
TOO LOW... eti hatred! Yaani nina chuki kisa nimegoma kutetea na kushabikia ujinga?!Nakuambia utakatika mshipa wa shingo wewe. Hatred has never been good to anyone.
How to kill the coronavirus; learn from Chinese expert
Kwani madawa yanapelekwa na mvuke kwa dozi gani, maana hujui kiwango cha infection usije kuwa unakunywa sumu.Hao mabeberu tumewashika pabaya!!! wenyewe akili yao wanadhani kwa ujinga wao tunatumia mvuke wa maji ya kawaida na kwamba eti joto la mvuke pekee ndio litaua virus. Kujifukiza maana yake ni kuchemsha dawa na mvuke utasaidia kupeleka dawa hiyo kwenda kuya fekelea mbali hayo ma hayawani waliyoyatengenezea laboratory
Jibu swali boya wewe!!! Eti nimeacha mada!! Nimeacha mada au umeshindwa kutetea ujinga ulioandika?! NI nani aliyeandika hii post hapa chini:-Yaan hata sielewi unachokiongea nini, umeacha mada unaanza kuropoka kama umekunywa maji ya chooni,
Nakupuuza sina muda wa kuargue na waathirika wa ujinga.
Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
How come useme nimeacha mada wakati hapo umeandika mwenyewe, na nilichokuuliza kinahusiana na ulichoandika!! Kama hadi hapo hujajua kwamba wewe ndo mjinga basi utakuwa mpumbavu!Waafrica kujifukiza ni dawa tena imesaidia wengi si Wazungu, si Wa Asia, mpende kutumia dawa zenu za asili acheni kupelekeshwa ndio maana mnadharauliwa,
Nani hajawahi kujifukiza kwenye mafua na pua kweli zikazibuka? Yaan kisa Mzungu amekataa basi na nyie mnawafatisha kama manyumbu,
Emancipate yourselves from Mental Slavery, mnatia aibu.
Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
😂 😂 😂
Maagizo utafuata tu, kama hata kuvaa suruali kakufundisha itakuwa hili.Mbna kwao yamewashinda kazi kuzungumzia ya wafrika.
MAGUFULI WANYOOSHE KIFO KIPO TU ILA SIO KUFATA MAAGIZO YAO
Kumbe tunashabikia hapa? Basi endelea kushabikia unachoshabikia. Mimi naendelea kujikinga na maambukizi ya Corona kwa kufuata njia zote zitakazonikinga.TOO LOW... eti hatred! Yaani nina chuki kisa nimegoma kutetea na kushabikia ujinga?!
Again, hiyo toka zamani mliyokuwa mnajifukisha mvuke, mlikuwa mnafanya hivyo ili kuua coronavirus?!
Swali lipo straightforward... unaruka ruka nini badala ya kujibu?!
Jibu nilichokuuliza, kama huna jibu, piga kimya!!Kumbe tunashabikia hapa? Basi endelea kushabikia unachoshabikia. Mimi naendelea kujikinga na maambukizi ya Corona kwa kufuata njia zote zitakazonikinga.
Your statement is not valid, mvuke ni mvuke tu.Usilazimishe, umefananisha visivyofananika.
My statement is still valid.
Mzee huwezi kunizuia kuandika! Naona uendelee kushabikia kama ulivyosema.Jibu nilichokuuliza, kama huna jibu, piga kimya!!
Jibu ulichoolizwa sasa!Mzee huwezi kunizuia kuandika! Naona uendelee kushabikia kama ulivyosema.