Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,544
- 6,312
God is good hakijatokea trust meWhites wanatamani sana kusikia vifo 5,000+ kila siku toka mataifa mbalimbali ya kiafrika, huku wakiongozwa na wafia mabeberu. They're all doomed coz tutajifukiza, tutakunywa hadi mwarobaini, tangawizi, maliamo nk na we'll be safe.
Waliproject maambuki zaidi ya 500k mwisho wa mwezi huu. They're just imbeciles + hao wafia mabeberu.
Well said culture me. Hapa kuna wafia ubeberu wanadhani anachoongea mzungu ni 100% sawa. Tunajifukiza, tunakunywa chai ya tangawizi na limao, tinasukutua maji ya moto/vuguvugu yenye chumvi nk.Waafrica kujifukiza ni dawa tena imesaidia wengi si Wazungu, si Wa Asia, mpende kutumia dawa zenu za asili acheni kupelekeshwa ndio maana mnadharauliwa,
Nani hajawahi kujifukiza kwenye mafua na pua kweli zikaibuka? Yaan kisa Mzungu amekataa basi na nyie mnawafatisha kama manyumbu,
Emancipate yourselves from Mental Slavery, mnatia aibu.
Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Tumsikilize nani rais wetu au BBC?
MK254 kunywa plombe hakuzuii corona
Umeandika kwa mihemko sana, kunywa maji utulize hasira zako,Tunadharauliwa hasa tunapokuwa na viongozi wa karne ya 21 lakini mawazo yao ni kama yale yale ya akina Kinjeketile Ngwale back in 1905!
Tunadharauliwa wanapoona hadi karne ya 21 bado kuna viongozi wa Afrika wanaoamini Mzungu na Mwarabu anampenda sana Mwafrika kiasi kwamba akawaletea Yesu na Uislamu bureeeeeee ili iwe kinga na tiba ya coronavirus.
Halafu ona unavyojichanganya... unajifanya kuhusudu tiba za Kiafrika lakini mwishoni unaishia ku-conclude "Stay at Home"!! Hiyo nayo ni tiba au kinga ya Kiafrika?!
Sio tu wafia ubeberu ni wafia siasa, siasa ikimtawala sana mtu inamtoa akili na ufahamu, huo ushauri angeutoa mtu wanayemtaka wao ungeona vile wanavyosapoti,Well said culture me. Hapa kuna wafia ubeberu wanadhani anachoongea mzungu ni 100% sawa. Tunajifukiza, tunakunywa chai ya tangawizi na limao, tinasukutua maji ya moto/vuguvugu yenye chumvi nk.
Si wameshajua zinaletwa Afrika, basi hata makohozi ya Corona watatemea hao, kila mtu ashoneshe barakoa yake tu sasa
Jibu swali ewe Msukule wa Lumumba... na hiyo Stay At Home ni Dawa ya Kiafrika?!Umeandika kwa mihemko sana, kunywa maji utulize hasira zako,
Mvuke tunatumia, kama hutaki ni wewe kaa usubiri dawa inakuja.
BTW, hiyo kaa home ni signature yangu, nipo ndani kwa mwezi na kitu sasa.
Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Wewe na wenzako wote mnaoaminishana ujinga!!Sasa Nani hapo wa kudharauliwa huyo anae sisitiza tiba za asili au wewe unapinga kwa nguvu zote mi naona wa kudharauliwa ni wewe
wadijinywedhevsumunkwa!!!!!!!Hillary Clinton katika ukurasa wake wa Twitter amewashauri wananchi wadijinywedhevsumunkwa sabubu tu Rais Donard Trump anaona ni wazo zuri.
Waambieni BBC wairipoti hii habari kwa kina kwa kufanya mahojiano na Hillary Clinton siyo kukazania kujitetea na misinformation.
unapata aibu kiasi hiki kisa kumsafisha jiweKuna tofauti Kati ya kilichoandikwa kwenye reference yako na alichosema Magufuli.
Nukuu yako inazungumzia mvuke wa maji wakati Magufuli anazungumzia mvuke wa madawa(miti, majani, mizizi au madini yaliyochemshwa au kuchomwa)
Msikilize rais wako mpendwa, Whose life is it anyway.Tumsikilize nani rais wetu au BBC?
Vipi kuhusu Sauna bath?The issue here is inhalation of a hot steam whether is steam of water or herbs but is called a steam.
Tatizo la kuleta siasa kwenye kila jambo?HAKUNA Mataga atakaelewa ulichoandika hapa. Akitokea Mataga akasema ukweli nitakuonyesha mbuzi mwenye miguu mitano.