BBC, DW, CNN wapuuzia taarifa za maandamano ya watu 100 waliojitambulisha kama Wakatoliki huku Vyombo vya Habari vya ndani vikiripoti

BBC, DW, CNN wapuuzia taarifa za maandamano ya watu 100 waliojitambulisha kama Wakatoriki huku vyombo vya habari vya ndani vikiripoti.

Aidha waandanaji hao baada ya kuulizwa kuhusiana na vitbulisho hawakutoa ili kuthibitisha ushirika wao na kanisa hilo.
Media za CCM zinachezea ligi za mchangani.
 
BBC, DW, CNN wapuuzia taarifa za maandamano ya watu 100 waliojitambulisha kama Wakatoriki huku vyombo vya habari vya ndani vikiripoti.

Aidha waandanaji hao baada ya kuulizwa kuhusiana na vitbulisho hawakutoa ili kuthibitisha ushirika wao na kanisa hilo.
Waandishi nao ni vilaza . **** maswali rahisi ya mtego kuhusu imani katoliki wangruliza wanhefurahi wenyewe majibu. Sasa wamekariri hilo la jumuia na parokia tuu wakati hao ma usaazi wameshakariri?
 
BBC, DW, CNN wapuuzia taarifa za maandamano ya watu 100 waliojitambulisha kama Wakatoriki huku vyombo vya habari vya ndani vikiripoti.

Aidha waandanaji hao baada ya kuulizwa kuhusiana na vitbulisho hawakutoa ili kuthibitisha ushirika wao na kanisa hilo.
Wakatoliki au mashehena wa Samuya Sulubu Hassara? Tunawajue hawa njala mbaya wanaojificha nyuma ya dini kutaka kuleta hisia za udinin wakati ni njaa na uzwazwa tu.
 
Humu nchini media zote zimewekwa mfukoni mwa CCM hamna cha maana unaweza ona wao mda wote ni kusifia na kuipamba serikali.
 
BBC, DW, CNN wapuuzia taarifa za maandamano ya watu 100 waliojitambulisha kama Wakatoriki huku vyombo vya habari vya ndani vikiripoti.

Aidha waandanaji hao baada ya kuulizwa kuhusiana na vitbulisho hawakutoa ili kuthibitisha ushirika wao na kanisa hilo.
*Katoliki
Hivi mna shida gani nyi wacenge msioweza kuandika na kutamka kiswahili,mmetokea wapi!?.. halafu mna vyeti,mnajiita genius na hamna likizo shule za msingi mlisoma hadi jumamosi na disemba!
 
Back
Top Bottom