kipenga
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 219
- 55
BBC Dira TV: Kampuni ya Microsoft
yanunua kampuni ya simu ya Nokia.
Nokia ambayo imekuwa ikiongoza kwa
kuuza simu zake, imekuwa ikisuasua
hivi karibuni kutokana na simu mpya
za kisasa kama vile iphone na samsung galaxy. . .
Nini maoni yako juu ya hili.
Cc. chief Mkwawa
Naona promo zako zimekumbana na vikwazo kidogo mkuu, au ndo maendeleo yenyewe hayo.?