Mpigie kura mshiriki pekee wa Tanzania Idris na kuleta ushindi nyumbani. Tuma Idris kwenda 15426, gharama yake ni Tsh 600. Hii ni kwa wateja wa Tigo tu. Kuwa mzalendo.
Mpigiekura mshiriki pekee wa tanzania idris na kuleta ushindi nyumbani
tuma idris kwenda 15426 gharama yake ni tsh 600
hii ni kwa wateja wa tigo tu
kua mzalendo
Naomba Mungu asishinde kwa kweli, maana ma haters apa tumbo joto, eeh mimi nae inabidi nifanyiwe maombi, nitakuwa mchawi sio bure, maana kila mtu simpendi
Ndoto yangu ni kumuona idris anatoka mjengoni, maana tutapumulia mipira, alichotufanyia ndomo uko south na tuzo tatu inatosha kwa kweli, maana sie wachawi tukiona mafanikio ya mtu, hatuna raha kabisa
Naomba Mungu asishinde kwa kweli, maana ma haters apa tumbo joto, eeh mimi nae inabidi nifanyiwe maombi, nitakuwa mchawi sio bure, maana kila mtu simpendi