BBA(Mwenge university ) vs taxation(IFM)

BBA(Mwenge university ) vs taxation(IFM)

Leah Mushemba

Member
Joined
Aug 29, 2017
Posts
39
Reaction score
14
Wakuu kati ya BBA (Bachelor in Business Administration) MWENGE UNIVERSITY na Bachelor of science in taxation IFM ipi ni sawa, bora na marketable kwa usawa huu.
 
Chukua sarafu ya shillingi 200 au 100.

Weka kichwa kuwa chuo kimojawapo na mkia kuwa chuo kingine.

Nuia kuwa upande wa sarafu utakaotazama juu ndio chuo utakachokwenda kama ulivyoainisha.

Rusha sarafu hiyo kwa kuizungusha hewani. Inapokuwa hewani, kuna upande mmoja utakaoukuwa unatamani sarafu idondokee. Nenda chuo kinachowakilishwa na upande huo.

Chagua kile unachokitamani.
 
Asante
 
Ya tax nzuri ila kupata ajira ni ishu, BBA hata usipopata ajira utajiajiri
 
KAribu IFM uwe jirani yangu mimi nipo kigamboni..,,,
 
Back
Top Bottom