BBA jamani

ngina rema

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
215
Reaction score
81
Wale wapenzi wa big brother, imezinduliwa ryt away.. Karibuni tuone hawa watz wenze2 watatulea nini? Au AIBUUU ya last year kwa mmoja wao aloyadoooo?
 
wameenda kina nani kutuwakilisha............hiyo aibu unayoisema ni kawaida BBA kama una akili timamu huwezi kujaza hata fomu za BBA sembuse kushiriki kushindania mapesa.............vingine tuwe tunakubali matokeo kama umepanda mchicha usitegemee kuvuna mpunga.
 
::Bora Babu Afufuke ili maadili yazingatiwe=
 
Omba mods wahamishe uzi wako kwenda Jukwaa la Entertainment kule...
MMU na BBA wapi na wapi!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…