Sitta juma
Member
- Oct 4, 2016
- 44
- 24
Habar za asbh,
nauliza kati ya kozi 3 hapo juu, ni ipi ambayo ipo more marketable zaid kwa ngazi ya bachelor?
nauliza kati ya kozi 3 hapo juu, ni ipi ambayo ipo more marketable zaid kwa ngazi ya bachelor?
procurement ndo habari ya mjini wazee wa 10%...procurement usiniulize kwann
BBA ni mama wa kozi zote za biashara kuhusu ajira kila sehemu inamuitaji mtu specific so mhasibu atafanya yake na mgavi naye hivo hivo usisahau na watu w masoko n mauzo pia nihivoNahic mtu wa BBA anaweza Fanya kazi zote zizikiwemo za acc,procurement na HR,cjui km Niko sahh
bba tia hutojuta ila unywe maji mengi moyo ueleeeeeBBA ya TIA,CBE na MUST vp
tatzo ajira ngumu sasaata kozi nzuri nazo wanaisoma namba....Nenda NIT Chukua bachelor degree in logistics and Transport management
Au chukua Accounts and Transport Finance pale NIT ni course Unique sana kibongo bongo