uko sahihi, utanisamehe kwa kuzidi kukuuliza maswali maana hata kwa daktari ukifika anahitaji kukuuliza mengi kabla hajafikia uamuzi wa kukwambia linalokusibu.
Unaposema haitoi jina inatoa number peke yake naomba ufafanuzi kidogo au jaribu kufuatilia hili, mfano umesave no ya John 0713800800 alafu akikupigia John haliji jina inakuja no peke yake ila ikiwa na Tz country code +255. Je unapataka kitu kama hiki?
Pia nahisi umeupdate OS from Version 5 to Version 6 precisely bb curve 9300 by default came with OS 5, kama kweli basi itakupasa kurudi Version 5 kwa muda mpaka utakaposikia OS 6 bundle ya mbele zaidi inaweza kua inafix hilo tatizo.
Cheers!