bb curve,torch,nokia,ipad 4sale! cheap!!

Kabaizer

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
504
64
Bb curve 8525
Bei-180,000

Bbtorch ina touch na slide
Bei-250

Nokia android touch screen
Bei-350

Ipad
Bei-550,000
 
Obvious ni mpya kabsaaa na sio za kichina...kama jibu ni ndioooo...karibu pm nikamate mbili fasta
 
Hata mi namsapoti who cares, kama ni brand new naitaka bbtorch ila isiwe frm chines
 
Bb curve 8525
Bei-180,000

Bbtorch ina touch na slide
Bei-250

Nokia android touch screen
Bei-350

Ipad
Bei-550,000

Mkuu hiyo iPad ni 1,2 au 3? Ina 3g au wi-fi pekee? Na ina gb ngapi, na vipi nimpya au used?
 
Wakuu!
Bbtorch ni used ndan ya wiki moja ilikua inafanyiwa majaribio iko poa sana haina tatizo. Guarrantee unapewa ya miez 6.

Bbcurve mpya kabisa!


Nokia android mpya!

Ipad si apple ni huawei!


Note:
Bidhaa zote ni original hakuna mchina na guarantee unapewa.
 
Wakuu!
Bbtorch ni used ndan ya wiki moja ilikua inafanyiwa majaribio iko poa sana haina tatizo. Guarrantee unapewa ya miez 6.

Bbcurve mpya kabisa!


Nokia android mpya!

Ipad si apple ni huawei!


Note:
Bidhaa zote ni original hakuna mchina na guarantee unapewa.

sasa si ungesema tablet au? Jibu na hayo maswali mengine
 
sasa si ungesema tablet au? Jibu na hayo maswali mengine

Mkuu hatugomban bot tunafanya biashara na maswali yote nimeyajibu na waliotaka tuonane inbox pia nimeenda labda kama una swali la kuongeza mkuu!
 
wadau mi nnazo blackbery 9700 for 220000, bb 9300 for 160000, iphone3gs for 260000. ni used kwa miezi kadhaa ila zote in very good conditions ukihitaji nipigie 0659197822
 
samahani je hapo kwenye nokia android ni sahihi? Mimi ni mtumiaji mzuri wa nokia lkn nokia hawajawahi kutumia os ya android nadhani ungerekebisha
 
Mh, ipad si ya apple ni Huawei. Nokia kutumia android OS. Kweli hapo? Wanunuzi kuwen makini!
 
mkuu nina ipad mini,,
good condtion 16 GB
white kwa laki 7.5
ni pm if interested
 
pilika pilika na majungu ya hapa na pale nawapa shukrani walionikosoa na kunicheck inbox,jamani mzigo wote umeuzika na guarantee nimetoa kama kuna tatizo kwa niliyemuuzia cm namba nimetoa be free
 
Mkuu kama umeuza ni kheri,basi na mm nauza blackberry 9780

Kwa 250 tu

PM itumike ili kunipata

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom