Bb curve 8520

Bb curve 8520

Ngalewa

Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
97
Reaction score
11
Msaada jamani blackberry yangu imezima gafla wakati nachati kwenye net ila nikiwasha ina load haimalizi kabisa.Nimejaribu kudownload firmware ya blakberry ila sim nikiunga na usb haisomi kwenye computer mana haimaliz ku load msaada jamani kwa mwenye ujuzi na matatizo kama hayo.
 
Ipeleke ikaflashiwe hiyo.. Haijaharibika..

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hamna sababu ya kupeleka kuflashiwa kama umedownload firmware yake install kwenye computer yake na hakikisha una delete vendor file.. Tumia Apploader kuflash bb yako.
 
Sasa yani kwenye computer haiwez ku detect co haimalizi kuwaka inaload ikikaribia kumaliza ina stop.
 
Kama umefuta hayo maelezo niliyokuandikia hapo juu lazima itasoma kwenye PC...
 
ina Run Software Ipi? 4.6 Or 5,then Inapo load Inakuonyesha Error Code Yoyote?? Nijibu Nikupe Maelezo Nimeshakutana Na Matatizo kama Hayo,so hopefully ntakuelekeza na utatatua tatizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom