Bayport na mikopo

Bayport na mikopo

Ndugu mteja huduma zetu zimeboreshwa acha kusikiliza maneno ya mtaani kwa watu ambao hata sifa ya kukopa hawana ndo mana unasikia sijui mama alikopa ,achana na majumbu njoo ukope kwa faida yako

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
Kwa thread ambazo nimezisoma hakuna anayesifia huduma yenu ya mikopo. Na kama mmefanya maboresho nani anayafahamu? au mmeyakalia kwenye viti vyenu? Vile vile inaonekana hakuna uwazi kwenye huduma yenu ya mikopo. ACHA KUPOTOSHA UMMA KWA MASLAHI YAKO BINAFSI NA USITAKE WENZAKO WAPOTEE. SHAURI KIKAMILIFU KWA MAENDELEO
 
jamani acheni majungu na propaganda bayport tuko vizuri tena sana makato tumeshusha kwa asilimia 50% mashariti yetu ya kupata mkopo ni rahisi na mikopo yetu ina bima njoo ofisin tuwape ufafanuzi halafu mlinganishe na huko kwingine ukweli utajitenga
 
hawafai hata kidogo,kama mkopo uinalipa kwa mwaka mmoja interst zao huwa zaidi ya asilimia mia moja,kama ni miaka mingi zaidi ni majanga
 
jamani acheni majungu na propaganda bayport tuko vizuri tena sana makato tumeshusha kwa asilimia 50% mashariti yetu ya kupata mkopo ni rahisi na mikopo yetu ina bima njoo ofisin tuwape ufafanuzi halafu mlinganishe na huko kwingine ukweli utajitenga

Acha kudanganya bayport ni majanga ni hiyo mnayosema Bima ndio janga jingine hilo
 
Ndugu mteja huduma zetu zimeboreshwa acha kusikiliza maneno ya mtaani kwa watu ambao hata sifa ya kukopa hawana ndo mana unasikia sijui mama alikopa ,achana na majumbu njoo ukope kwa faida yako

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
Mkuu ili kuweka mambo sawa .....toa mchanganuo wa mikopo yenu hapa.....
 
njoo ofisini tukupe mchanganuo upate ukweli kamili kwa faida yako mwenyewe
tunajua tuna washindani wetu wa kibiashara wengi na ndio wanao eneza propaganda na majungu
 
Hawana lolote hao wezi tu, wanakata hadi 82%! Kopa NMB au POSTA kama mimi. Achana nao kabisa kabisa!!! Don't try Byport at home!heheheee

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
... poa!
Ninajipanga kurudi Shule. Mara hii kusomea Sheria. Nitajikita kwenye Law of Torts. Wa kwanza kuwabana ni Bayport, Blue, FINCA, Pride na Loan sharks kama nyinyi. Wateja wangu wa awali watakuwa Walimu, Manesi, n.k. nipatieni miaka 2 tu!!

A body of rights, obligations, and remedies that is applied by courts in civil proceedings to provide relief for persons who have suffered harm from the wrongful acts of others. The person who sustains injury or suffers pecuniary damage as the result of tortious conduct is known as the plaintiff, and the person who is responsible for inflicting the injury and incurs liability for the damage is known as the defendant or tortfeaso.....

mifano yake;kesi za bima (kudai fidia kutokana madhara yalisobabishwa na ajali),kashfa (habari zinazochafua heshima ya mtu au kushusha utu wake) kujeruhi/shambulio la mwili, trespass,.n.k

The law of torts is derived from a combination of common-law principles and legislative enactments. Unlike actions for breach of contract, tort actions are not dependent upon an agreement between the parties to a lawsuit. Unlike criminal prosecutions, which are brought by the government, tort actions are brought by private citizens. Remedies for tortious acts include money damages and injunctions (court orders compelling or forbidding particular conduct). Tortfeasors are subject to neither fine nor incarceration in civil court.
 
njoo ofisini tukupe mchanganuo upate ukweli kamili kwa faida yako mwenyewe
tunajua tuna washindani wetu wa kibiashara wengi na ndio wanao eneza propaganda na majungu

Ukiona mchanganuo mpaka ofisini ujue majanga,hapa mnaogopa kuutoa unajua watu wataonao ukweli,si utoe tu hapa ili wengi tuweze kujua pengine utakkuwa umefanya promo ya kutosha hapa,ila ukitoa wa uongo watu pia watatoa ya ukweli then tunacompare
 
we unahusika kwenye kitengo gani usije kuwa mlinzi wa getini unapiga promo 2, binafsi nakuona kama mjinga fulani, unatetea hujui cku moja wajukuu au watoto wako watapeliwa hivihivi. Una Mawazo finyu

We ukitaka kujua uliza mkopo ni kwa % ngapi alafu nenda NMB NA NBC pia uliza utapa wapi kwa kwenda
 
Mili 2 kwa miaka miwili marejesho 159,420 kwa mwezi. bayport hawafai......najuta kukopa
 
Back
Top Bottom